Nani tena ataniteka mimi? Nilikua bize kidogo ndio mana nilipotea...Hivi nani kakuteka we mwanaume
Kwahiyo ubusy umeisha au unaendeleaNani tena ataniteka mimi? Nilikua bize kidogo ndio mana nilipotea...
Umeisha tayari sasa hv nimekula pause nakufatilia kwa ukaribu kabisaKwahiyo ubusy umeisha au unaendelea
Yaan wewe ingebidi muoane na mzigua mnapenda bataWkend imeanza
Me kuna mda nilivurugwa yaan jf hiiUmeisha tayari sasa hv nimekula pause nakufatilia kwa ukaribu kabisa
Mimi week lotr hili mpaka pasaka iishe ni mvinyo tu...niitie mzigua pande hiziYaan wewe ingebidi muoane na mzigua mnapenda bata
Ulivurugwa na nini tena mumy?Me kuna mda nilivurugwa yaan jf hii
Nilikuona sehemu unasema upo tips ndio nyumbani kwa mzigua hapoMimi week lotr hili mpaka pasaka iishe ni mvinyo tu...niitie mzigua pande hizi
Na mambo za jf natukanwa tu mpaka mama angu anatukanwa halafu ukizingatia mama angu mwaka wa 10 huu yupo kaburini jitu linafungua I'd mpya tu kila akikuta sehemu anakutukanaUlivurugwa na nini tena mumy?
Una kitu flani special ndio maana unaona inakua hivyo kwahiyo kua mvumilivu tu kipindi cha mpito hichi. Maisha yaendeleeNa mambo za jf natukanwa tu mpaka mama angu anatukanwa halafu ukizingatia mama angu mwaka wa 10 huu yupo kaburini jitu linafungua I'd mpya tu kila akikuta sehemu anakutukana
Sawa babeUna kitu flani special ndio maana unaona inakua hivyo kwahiyo kua mvumilivu tu kipindi cha mpito hichi. Maisha yaendelee
Nenda prime minister (pm) utaiona picha yako.Sasa shemeji tunaivunjaje miiko ya ushemeji
Nan anathubutu kukuvuruga shemej yangu?Me kuna mda nilivurugwa yaan jf hii
[emoji3][emoji3][emoji3] pm ipiii shemeji unayoizungumzia me situmii hizo mamboNenda prime minister (pm) utaiona picha yako.
Eti aende wapi?Nenda prime minister (pm) utaiona picha yako.
Ndio maana nakupendagaSawa babe
Lile lijitu shem lakubadili idNan anathubutu kukuvuruga shemej yangu?
Umeweka kufuli pm yako shem?[emoji3][emoji3][emoji3] pm ipiii shemeji unayoizungumzia me situmii hizo mambo
Hivi babe anakujaje sasaEti aende wapi?
Ndio maana nakupendaga
Nimeshasahau kuhusu pm shemejiUmeweka kufuli pm yako shem?