Weekend

Weekend

Na mambo za jf natukanwa tu mpaka mama angu anatukanwa halafu ukizingatia mama angu mwaka wa 10 huu yupo kaburini jitu linafungua I'd mpya tu kila akikuta sehemu anakutukana
Una kitu flani special ndio maana unaona inakua hivyo kwahiyo kua mvumilivu tu kipindi cha mpito hichi. Maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom