Weekend

Yaan shemeji nimekuwa muoga sana na watu wa jf unaweza kuonana na mtu kwa nia nzuri tu ili mfahamiane mwisho wa siku yataibuka mengine kwahiyo huwa naona bora niepukane nayo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] uoga wako tu white.....

Ila incase tukionana wengine sisi ni kagame figure tusije onekana mario nitakupa meza yako utakula na kunywa dear [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…