Weekend

Weekend

Issa Weekend.
bdcde1129e7d99b1569dfe5107111cb2.jpg
Mh huyo ni wewe??? Nakumbuka Mara ya mwisho kukutana (pale makutanoni kwetu) ulikuwa black beauty la nguvu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ...
 
Me mwenyewe naishi nanjilinji huku na kichumba changu kimoja ni kama store kila kitu ndani kwahiyo usiogope uwe na amani zote mwendokasi ndio usafiri wangu nasimamia bomba
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] tunazipanda wote hizo white..

Ila siku moja tutapata zetu na tuzunguka mji wote huuu.....

Cha msingi pesa ya kula na kunywa ipo hakuna tatizo kwa jiji la makonda [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom