Weekend

Me mwenyewe naishi nanjilinji huku na kichumba changu kimoja ni kama store kila kitu ndani kwahiyo usiogope uwe na amani zote mwendokasi ndio usafiri wangu nasimamia bomba
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] tunazipanda wote hizo white..

Ila siku moja tutapata zetu na tuzunguka mji wote huuu.....

Cha msingi pesa ya kula na kunywa ipo hakuna tatizo kwa jiji la makonda [emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…