Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
I'm sorry bby.
Naheshimu mawazo yako so nimekubali white kuwa na amani.... [emoji4] [emoji4]Hapana mkuu me na wewe tuendelee hivi hivi tu
Mm nitaletewa bili yangu utujue.... so huyo mchumba wako atapambana na hali yako cha msingi uje uniage kama cousin yako [emoji4] [emoji4] [emoji4]Ukiniweka meza yangu nitapata mchumba
hehehe mie nafuatilia tu mkuu, wala sina maana nyingneHahaha hawa na ma bestie zangu tunafahamiana vizuri mkuu
Sidhani kama anakumbuka idadi aliyokuwa nayo jamaniHivi Mzigua una mabebi wangapi wewe? Teh teh ......
Asante sana kwa kunielewaNaheshimu mawazo yako so nimekubali white kuwa na amani.... [emoji4] [emoji4]
Huyu ni multifongo [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hivi Mzigua una mabebi wangapi wewe? Teh teh ......
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante sana kwa kunielewa
Hahah... relax bosshehehe mie nafuatilia tu mkuu, wala sina maana nyingne
Sidhani kama anakumbuka idadi aliyokuwa nayo jamani
Hahahha Ngabu huyo mdogo wangu tulikuwa hapa nje mtaani tunakunywaHivi Shualina hapo ulikuwa wapi kwenye avatar? Mugongo mugongo baby...
Mkuu naomba upambane na black american babes huko hawa wa kibongo tuachie ndugu zako [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hivi Shualina hapo ulikuwa wapi kwenye avatar? Mugongo mugongo baby...
Mimi huyo black toka lini? Labda nilikua sijaanza kujichubua [emoji23][emoji23]Mh huyo ni wewe??? Nakumbuka Mara ya mwisho kukutana (pale makutanoni kwetu) ulikuwa black beauty la nguvu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ...
Hahahha Ngabu huyo mdogo wangu tulikuwa hapana nje mtaani tunakunywa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] zimefika NgabuMdogo wako mzuri! Mwambie anasalimiwa na Julius....halafu kama vipi ntampitia na yeye twende kule
Itabidi twende wote hapo hope kuna chakula kizuri pia.....Pale Sinza Green Lounge hiyo hela napata heineken 12 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Yan ule ndio unauita ubonge?? una utani na mabonge eti