Weekend

Wadada wanamtongoza jamani. Sema kazuri ila umalaya tu. Alikua ananiambia beb huyu naoa kabisa. Walikaa miezi mitatu wakaachana [emoji23][emoji23][emoji23]. Walikutana wote matatiso
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi anawakula sana wanaomtongoza
 
Nikija kwa bebe ako na kigauni kifupi juu ya goti si utanifukuza[emoji23] [emoji23] ila kwa wewe najua hautanifukuza, pona yangu ni kwa vile sina chura na mguu fito.Shem hawezi angalia mara mbili
Me sitakufukuza hata akileta tamaa zake akikukula namtafutia mjanja mwenzie
 
Uchafu tuu. [emoji23][emoji23][emoji23]. Dada angu ananipendaga ila kwa mashemeji ananipelekaga kwa uoga kweli. Anasemaga bora mimi siwezi mbebea mabwana zake [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi anawakula sana wanaomtongoza
Anakula. Sio mchoyo kabisa yule kaka. Halafu bonge la mkaka sijui kwanini haachi umalaya jamani. Mi nilimpigia simu nikamwambia kaka kwaheri nitapigwa bure mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…