Weekend

Weekend

toka imerekebishwa hujawai kanyaga.. pazuri than bar zote tabata hata sinza.. japo wateja hana wengi kivile.. but ni classy sana
Sijawahi. Tatizo mi mvivu pia wa kwenda sehemu za mbali. Nishazoea mikocheni na masaki.
 
Sijawahi. Tatizo mi mvivu pia wa kwenda sehemu za mbali. Nishazoea mikocheni na masaki.

unaishi mikochen?

nishazoea viwanja vya mitaa yangu.. mbali naendaga for washkaji tu stories hasa tips na elements.. high spirit au nextdoor... mara moja moja wekend

angalau gari itembee isioze.. maana naweza nisitumie wiki nzima.. shughuli zangu zote ni near napoishi
 
Me mwaka jana mwanzoni kilikuwa kijiwe changu sana nilikuwa na shemeji yangu mmoja yaan ni mtu wa bata mpaka nikawa namkimbia ukimuendekeza kila siku ni kulewa tu london lounge ye ndio kanifanya nipajue pale
Ila ntaenda nipaone. Tatizo mbali na ninapokaa
 
unaishi mikochen?

nishazoea viwanja vya mitaa yangu.. mbali naendaga for washkaji tu stories hasa tips na elements.. high spirit au nextdoor... mara moja moja wekend

angalau gari itembee isioze.. maana naweza nisitumie wiki nzima.. shughuli zangu zote ni near napoishi
No ila karibia na huku. Town sijaenda mida kweli
 
Back
Top Bottom