Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dyudyu za kupasua nyuchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dyudyu za kupasua nyuchi
Khaaaaaaa unaongea na hazard au[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dyudyu za kupasua nyuchi
Kuwa na wewe upate yakoShikamoo
Sijawahi. Tatizo mi mvivu pia wa kwenda sehemu za mbali. Nishazoea mikocheni na masaki.
Ila ntaenda nipaone. Tatizo mbali na ninapokaaMe mwaka jana mwanzoni kilikuwa kijiwe changu sana nilikuwa na shemeji yangu mmoja yaan ni mtu wa bata mpaka nikawa namkimbia ukimuendekeza kila siku ni kulewa tu london lounge ye ndio kanifanya nipajue pale
No ila karibia na huku. Town sijaenda mida kweliunaishi mikochen?
nishazoea viwanja vya mitaa yangu.. mbali naendaga for washkaji tu stories hasa tips na elements.. high spirit au nextdoor... mara moja moja wekend
angalau gari itembee isioze.. maana naweza nisitumie wiki nzima.. shughuli zangu zote ni near napoishi
Yule bana aliyekuwa anamkula mtoto wa mjini Erica kipindi flaniHahahaaa. Mchaga yupi? Loya?
Unataka kwenda wapi tena bila mimi?Poa..nitakuja hapo
Uvae kiheshima ni shemeji ako uyoSawaa nikifika ntakwambia.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Khaaaaaaa unaongea na hazard au
HahahahahshshKuwa na wewe upate yako
Sinza pia kwani kuna London loungetoka imerekebishwa hujawai kanyaga.. pazuri than bar zote tabata hata sinza.. japo wateja hana wengi kivile.. but ni classy sana