Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawaa nikifika ntakwambia.
London kijiwe changu cha zamani nimemiss mishkaki yao na ndizipita london lounge kijiwe chetu wakaz wa ubungo uone wekend zetu pia zilivyo..
usiku nitakuwa tips.. wala bata wote humu mtaokuja tips msisite nitafuta
Hahahahh lift vipiiiiLift ikija mapema tutakutana.
Me mlokole shemejiHuende kula bata huko
Hahaha kuna siled nimeona pope kasema hakuna hukumu siku ya mwishoMe mlokole shemeji
Sema kweliHahaha kuna siled nimeona pope kasema hakuna hukumu siku ya mwisho
London kijiwe changu cha zamani nimemiss mishkaki yao na ndizi
Juu ndio huwa napapendaga nikija lazima nikae juusiku hizi pamenoga.. juu kabisa kuna nyama choma ya hatari na mziki safiiiii... na upepo mzuriii huku unaona mandhari ya dsm kwa juu
Kuna kipind ulikuwa sister, shemMe mlokole shemeji
He he nahisi atakuwa yule mchaga niliyemuona kwa sttsLift yenyewe ya mtu wa mjini na utakua unamjua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi nimeenda hapo miaka minne iliyopita
Me mwaka jana mwanzoni kilikuwa kijiwe changu sana nilikuwa na shemeji yangu mmoja yaan ni mtu wa bata mpaka nikawa namkimbia ukimuendekeza kila siku ni kulewa tu london lounge ye ndio kanifanya nipajue paleNahisi nimeenda hapo miaka minne iliyopita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nn unanifatilia hiviKuna kipind ulikuwa sister, shem
Mara hii ushakuwa born again.
Nakujali na kukupenda shem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nn unanifatilia hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nini sasa usifunguke halafu shemeji kuna sehemu hapa chit chat kabla hatujazoeana ulikuwa unamtolea mtu povuNakujali na kukupenda shem
lazima nkufuatilie.
Kipind hicho nilikuwa sja date na ndugu yako. Nilikuwa nakufuzia wewe.
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
ShikamooKho kho kho