MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Basi ukija Dar uje uichukue. Kama itakuwepo bado.
hahha na kweli !asantee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ukija Dar uje uichukue. Kama itakuwepo bado.
Sure kwel strong weekend i gesi haaa haaaHii ni chit chat na leo ni weekend mkuu.
Numbisa [emoji23][emoji23][emoji23]. Ukipata nikumbuke pliiiz
Kama unaweza kubishana na ukweli basi sawa endelea......Wallah sio mimi basi tu tunaendana.
Mzigua hii ndio housing yako?Issa Weekend.![]()
Mkuu hakika jokofu lako umelitendea hakiHali ya hewa hairuhusu kutoka itokee mama moja matata tujifungie mpk kesho![]()
Tarehe kama hizi bado jeuri ipo mkuu inabidi ujipe raha mwenyeweMkuu hakika jokofu lako umelitendea haki
NIssa Weekend.![]()
Hapo ukiwa unaangalia Arsenal akila kichapo!![]()
Nimeshaanza mkuu
Kweli tena tunafanana fulani ila sio mimi kabisaKama unaweza kubishana na ukweli basi sawa endelea......
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Malkia wa nguvu leo umepatikana,
Jicho la tatu halioni utofaut kati ya selfie ya hii nyuzi na avatar husika,member yeyote akitizama kinagaubaga hakika atasema ndiye
Huwatakii mema arsenalN
Hapo ukiwa unaangalia Arsenal akila kichapo!
Pole kiti kwa kubeba mzigo wote huoIssa Weekend.![]()
Mkuu hakika jokofu lako umelitendea haki
Hapo kwenye hio avatar yako napajua. Im connecting dots.Hahahahaaa