Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
haya mamiiNakuja tuyajenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya mamiiNakuja tuyajenge
Ni kweli shemejiSi unajua lazma mwli wake lazima uchangamshwe kabla hajaingia jikoni
Baby wake jamani shemeji yangu mm yupo hapaHaha si anasema anawengi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndio nilikuwa huko mawindoniUwahi mawindoni
Haseme nini kila siku analia lia hapa na wewe hazard ulikosea sana kumpa ujumbe Demiss wenzio wanatongoza wenyewe unakuwa kama sio mjanjaTatizo hasemi
Ewaaaaaaaa hayo ndio maneno sasaNakuja tuyajenge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ujumbe haujafika mpaka leoHaseme nini kila siku analia lia hapa na wewe hazard ulikosea sana kumpa ujumbe Demiss wenzio wanatongoza wenyewe unakuwa kama sio mjanja
Hahahhahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndio nilikuwa huko mawindoni
Unaona sasa angejiingiza mzima mzima mwenyewe sasa hivi angekuwa anabebishwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ujumbe haujafika mpaka leo
Leo kwenye kudanga nilikuwa na vichwa vingi mnooo ndio mana jf nimeingia mida hiiHahahhahaha
Hahaha demiss aliniambia nitulie hapo kwa jj..alirecommend kabisaHaseme nini kila siku analia lia hapa na wewe hazard ulikosea sana kumpa ujumbe Demiss wenzio wanatongoza wenyewe unakuwa kama sio mjanja
Mwache achelewe chelewe atakuta mwana si wakeUnaona sasa angejiingiza mzima mzima mwenyewe sasa hivi angekuwa anabebishwa
Hahaaahaaa staki kabisa kukumbuka[emoji23] [emoji23] tusije tukavamiwa hapaLeo kwenye kudanga nilikuwa na vichwa vingi mnooo ndio mana jf nimeingia mida hii
Utakua hukumpa hela ya ushenga weweHahaha demiss aliniambia nitulie hapo kwa jj..alirecommend kabisa
Hahahahah Demiss ni mwehuHahaha demiss aliniambia nitulie hapo kwa jj..alirecommend kabisa
Shauri yakeMwache achelewe chelewe atakuta mwana si wake
Kwani yupo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] toka ban ya usiku alirudi tenaHahaaahaaa staki kabisa kukumbuka[emoji23] [emoji23] tusije tukavamiwa hapa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Utakua hukumpa hela ya ushenga wewe
[emoji41] [emoji41] [emoji41]Utakua hukumpa hela ya ushenga wewe
Hajarudi lakini sasa huwezi jua wamo humu humu,asije akasema hamjakoma eeee ngoja nifungue id niwaoneshe kazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] Adui wa mtu ni mtu shogaKwani yupo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] toka ban ya usiku alirudi tena