Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Habari za leo?[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za leo?[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Nakusubiri kuleee...mbona hauji?Mwache achelewe chelewe atakuta mwana si wake
Mungu anasaidia...siku imeisha vizuri kabisa sijui kwa upande wakoHabari za leo?
Ni salama kabisa kwa kweliMungu anasaidia...siku imeisha vizuri kabisa sijui kwa upande wako
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Hahahahah Demiss ni mwehu
Ni kweli wamo yaanHajarudi lakini sasa huwezi jua wamo humu humu,asije akasema hamjakoma eeee ngoja nifungue id niwaoneshe kazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] Adui wa mtu ni mtu shoga
Wacha weeh naona umeamua kummaliza hazard kabisa na avatarHabari za leo?
Mdogo wangu mzima[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Yani ndio namuona....hakikaa mtoto kaumbikaaaWacha weeh naona umeamua kummaliza hazard kabisa na avatar
Kitoto portableYani ndio namuona....hakikaa mtoto kaumbikaaa
Yaaah...hakinipi shida,kaje kakutane na super tallKitoto portable
WooooooooooozeeeeeerYaaah...hakinipi shida,kaje kakutane na super tall
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni uchocheziWacha weeh naona umeamua kummaliza hazard kabisa na avatar
Waaaacha weeeYani ndio namuona....hakikaa mtoto kaumbikaaa
Kinabebeka yaniKitoto portable
Hawa supa tolu huwa wana shida mahaliYaaah...hakinipi shida,kaje kakutane na super tall
Haha wapi tena mamii?Hawa supa tolu huwa wana shida mahali
u luk amazing kwakwelWaaaacha weee
[emoji23] [emoji23] nikikwambia ntapigwa ban saiv apaHaha wapi tena mamii?
Haha basi nipm[emoji23] [emoji23] nikikwambia ntapigwa ban saiv apa