Weekend πŸ˜˜πŸ–οΈ

πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe
Mwenzenu alishika simu yangu sijui alichokua anakitafuta alikipata
Dooh hii ya kushika simu sitakuja kuirudia maisha yangu yote

Ilikua ndio mwanzo ni niliapa itakua ndio mwisho, maana nilichokitafuta nilikipata tena na zaidi🀣🀣
 
Ulimkuta baby wa ukweli ee🀣
Ukijua wewe ndiye mama house kumbe?🀣
 
Dooh hii ya kushika simu sitakuja kuirudia maisha yangu yote

Ilikua ndio mwanzo ni niliapa itakua ndio mwisho, maana nilichokitafuta nilikipata tena na zaidi🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚ ulikutana na bwana pepsi sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…