Weekend 😘🖐️

Weekend 😘🖐️

😭mwenye handle ya sabuni anisaidie
Nakupenda sana sabuni maana nikikuhitaji mda wowote upo kwa ajili yangu kama vile iwavyo Oksijeni na moyo ..
Hata nikiwa sina pesa ewe sabuni hujawahi nikimbia katika shida na raha u pamoja nami sabuni jinsi navyokupenda sabuni hata dunia ikianza upya ntakuchagua wewe sabuni 😔
 
Sabuni inafanya kitu ipungue urefu
Shauri ako
 
Back
Top Bottom