mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Sumbawanga si mbali D,jichanganye[emoji16]Nikimtaja hapa sasa itakuwaje kama tuko list?
Wake wenza mtavumilia??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sumbawanga si mbali D,jichanganye[emoji16]Nikimtaja hapa sasa itakuwaje kama tuko list?
Wake wenza mtavumilia??
Huyu hapa,ananipa yote😁😁😁Ana trakoo
Aisee Sasa nasikiaga eti waalimu wachumba zao wengi ni wanajeshi na mapolisi eti kweli??Wanaume wagumu kweli kuomba msamaha ni mtu mmoja tu anaweza omba radhi hata ya kuzugia
🤣🤣Sumbawanga si mbali D,jichanganye[emoji16]
Hata mie ninaloHuyu hapa,ananipa yote😁😁😁View attachment 2506160
Ujeuriiii😂 mimi huyo? Atantafuta yeye
No more text/call baada ya text/call ambayo haijajibiwa. Sijaua mimi
Acha tuMh umu
NdiyoHuyu ni wako??
Ni kweli ila mi SijabahatikaAisee Sasa nasikiaga eti waalimu wachumba zao wengi ni wanajeshi na mapolisi eti kweli??
🤣🤣🤣 Acha ukorofi kijana😂 mimi huyo? Atantafuta yeye
No more text/call baada ya text/call ambayo haijajibiwa. Sijaua mimi
Sijakosea ni kisirani chake tu, mimi haya mapenz yalishaniburuza vibaya kwahiyo huwa siyapi kipaumbele.Wanaume wagumu kweli kuomba msamaha ni mtu mmoja tu anaweza omba radhi hata ya kuzugia
Duh!!Basi nakutaka😁😁😁Hata mie ninalo
[emoji28][emoji28][emoji28] we ungeweza kuvumilia?[emoji1787][emoji1787]
Wenza jamani
Kila mtu si kwa nafasi yakee
Unique Flower taratibu dada....Mnaona sasa mnavyotag mashemeji zenu
Apeperuke tu warembo wanazaliwa everyday, mashangazi ndio usiseme 😁🤣🤣🤣 Acha ukorofi kijana
Angalia asije kupeperuka, ukabaki mpweke
Me navumilia dia[emoji28][emoji28][emoji28] we ungeweza kuvumilia?
Kwahiyo uko singleApeperuke tu warembo wanazaliwa everyday, mashangazi ndio usiseme 😁