Hivi kuliwa papuchi ni kunyanyaswa kijinsia?
Alichokifanya Harvey ni unyanyasaji was kingono huwezi kupinga. Yeye kama tajiri angeweza kutongoza mwanamke yoyote Yuko mitaani na wakakubali kirahisi tu. Yeye alichokuwa anafanya Ni kutongoza wanawake waigizaji na ma model ambao wanahusika na Kazi yake, aidha wako kwenye interview process au Kuna potential ya kutaka kuwaweka kwenye movie zake. Sasa unakuta wakimkatalia anawatishia au wanaogopa wakimkatalia ndo mwisho wa Kazi . That is sexual harrassment and abuse of power.
Na kwa taarifa yako ndio Kuna uwezekano wa mume kupelekwa jela Kwa kubaka make. Marital rape is real.
hahahaha ndio nashangaa dunia ya leoHivi kuliwa papuchi ni kunyanyaswa kijinsia?
Kama unatishiwa kufukuzwa kazi au kunyimwa Kazi usipolala na boss ni unyanyasaji ndio.
kampuni yangu kosa la nini labda huko serikalini,halafu tafsiri sahihi ya unyanyasaji bado inamnufahisha zaidi mwanamke kuliko mwanaume na ndio maana inawakuta sana watu maarufu eg.Tyson,2pac,R.kelly na sasa Nelly
labda mamlaka zitoe muongozo wa sheria za kutongoza hapo sawa
Ndio maana nikasema inabidi mtazamo kuhusu unyanyasaji wa kijinsia na ubakaji ubadilike, kampuni ya MIRAMAX si ya kwake kwahiyo inawezekana hivyo ni vigezo vya kuwin audition katika hizo interview zake so kimsingi kunakuwa hakuna violation of law yoyote hapo collect me if i'm wrong
Ni kinyume na sheria kuweka ngono kama prerequisite ya kupewa kazi. Acha ku-support hii idea.
na sidhani kama kutakuwa na reasonable doubt yoyote pale mtu anapokubali kushiriki kwa hiari yake mwenyewe hata kama yupo under influence ili mradi sio minor ndio maana hata huyo Lupita jamaa alikuwa anatumia njia za kawaida kumshawishi kumchua akiamini itakuwa rahisi kwake kumpata so sioni kosa hapo
Soma link mwenyewe hii hapa, in Lupita's own words. Sidhani kama umeelewa kilichotokea:
Opinion | Lupita Nyong’o: Speaking Out About Harvey Weinstein
Nakwambia inabidi tubadilishe mtazamo kwa sababu mimi naamini 90% ya wanawake wote duniani ngono yao ya kwanza either wameshiriki kwa kulazimishwa au kushawishiwa na mambo flani ambayo wewe unataka kuniambia ni aina ya unyanyasaji, i bet that is nature na ndio maana wanyama ambao wanaendeshwa na sirika wala sio akili hawabaki bali wanajamiiana (jogoo kumkimbiza kuku mtetea sio kwamba anambaka bali zile ndio njia zao za asili sirika katika kujamiiana)
Sasa hiyo asilimia 90 unaona ni sawa? Instead of changing the law, why don't men change? Yaani wewe mwenyewe unasema kuwa ngono ya kwanza ya mwanamke ni ya kulazimisha, sasa kwanini umlazimishe?? Wanawake si kuku, wanaume si jogoo. kuna madhara mengi ya kisaikolojia na kimwili yanayotokea ukiforce mahusiano kama haya , tafadhali fikiria ulichoandika hapo juu na jiulize mara mbili ni wapi unaelekea na fikra za namna hii.
Na kwa taarifa yako Marital rape is real but not real in real life as marriage are binded by GOD's law, na hii mara nyingi ipo hasa pale mwanandoa mmoja anapokuwa mgonjwa au unfit na kesi hizi nyingi zinaishia kijamii na kifamilia zaidi na hata sheria zake bado zinamapungufu sana na zinapingana
Marital rape naweza kuifananisha na kesi ya Mwanaume kubakwa na Mwanamke sababu kimsingi hili mwanaume ashiriki tendo lazima viungo vyake vya uzazi viwe tayari,na kibiolojia hili viungo vya uzazi viwe tayari(erect) lazima kiakili ukubali na uridhie so technically hujabakwa bali umefanya kwa kupenda...period
Watu waliobakwa mara nyingi huona aibu (shame) kuongelea hili jambo sababu mara nyingi unakuta wamedhalilishwa miili yao lakini unakuta kuna raha fulani wanayoweza kuexperience sababu kibaolojia miili yetu imetengenezwa kureact to stimulation. Kwahiyo unakuta ndio mwanaume anaweza kubakwa hata akiwa na erection because an erection is a physical response to stimulation. Sawa sawa na mwanamke ambae anaweza kufika kileleni via rape. It is unfortunate but it happens and it is what makes rape a very complex, traumatic experience.
Duh!!!!Kama marehemu Kanumba alivyomfanyia Lulu kipindi hicho kalivyokuwa hata manyonyo hayajaota.
Dk.Manyaunyau alikuwa ashapita,ikaja zamu ya mwungine na mwinginebndo ikaja zamu ya Kanumba,Komba,sasa siku hiyo wakauliza,zamu ya nani leo,Alikiba.Kanumba akagoma ndo yakamkuta yaliyomkuta.Nenda mwana kwenda,,,,zamu ya nani leo? Ma_J ,Ma J,Majizooooooo.hv kanumba ndio aliyefungua asali ya lulu? au
Mkuu kanumba ana kesi ya kujibu, km sio kifo kilimuumbua nani angejua kanumba anam-date Lulu?ukiachia tofauti zao za kiumri na ata kimaumbo, nani aliwahi kufikiri kuwa wawili hao walikuwa na mahusiano ya kimapenzi? Binafsi naamin kanumba anapaswa kufunguliwa kesi ya unyanyasaji wa watoto wa kike.Kama marehemu Kanumba alivyomfanyia Lulu kipindi hicho kalivyokuwa hata manyonyo hayajaota.
You cannot be serious. By your logic unaweza kusema una haki ya kulazimisha ngono as part of the interview process as long as kampuni ni yako? The law doesn't work that way. Au ndo kama wale baba mwenye nyumba kulala na house girl kisa anaishi kwake?
Sheria zinawakinga (na si kunufaisha) wanawake sababu asilimia 99 ya wabakaji ni wanaume! Men have power ( physical and economic) ambayo wanatumia vibaya.
Tyson alibaka.
R.Kelly alibaka na anaendelea kubaka mpaka leo mwanaume miakia 50+ kutembea na vitoto vya high school. Tena anafahamika huko Chicago anashinda mashuleni kunyemelea vitoto visivyokua na akili. alimuoa aaliyah akiwa na miaka 27 Aaliyah was underage. That man is guilty and needs to be in jail.
Fafanua mkuuJitu zima ovyoo
Soma The New York Times article kaelezea habari zote hizo.Huyo Lupita Nyong'o mbona hakusema mwanzo kabisa? Kasubiri mpaka wengine wameshajitokeza ndiyo na yeye analeta story yake hiyo. Hata wanawake wengine ambao walikubali kwa matakwa yao sasa wanajitia eti aliwa-rape. Wanafikiri watalipwa hela kirahisi!
Huyo kanumba kakuta ishasoma milage ya kutosha.hv kanumba ndio aliyefungua asali ya lulu? au