Weinstein alitaka kulala na Lupita Nyong'o

Weinstein alitaka kulala na Lupita Nyong'o

Alichokifanya Harvey ni unyanyasaji was kingono huwezi kupinga. Yeye kama tajiri angeweza kutongoza mwanamke yoyote Yuko mitaani na wakakubali kirahisi tu. Yeye alichokuwa anafanya Ni kutongoza wanawake waigizaji na ma model ambao wanahusika na Kazi yake, aidha wako kwenye interview process au Kuna potential ya kutaka kuwaweka kwenye movie zake. Sasa unakuta wakimkatalia anawatishia au wanaogopa wakimkatalia ndo mwisho wa Kazi . That is sexual harrassment and abuse of power.

Na kwa taarifa yako ndio Kuna uwezekano wa mume kupelekwa jela Kwa kubaka make. Marital rape is real.

Ndio maana nikasema inabidi mtazamo kuhusu unyanyasaji wa kijinsia na ubakaji ubadilike, kampuni ya MIRAMAX si ya kwake kwahiyo inawezekana hivyo ni vigezo vya kuwin audition katika hizo interview zake so kimsingi kunakuwa hakuna violation of law yoyote hapo collect me if i'm wrong

na sidhani kama kutakuwa na reasonable doubt yoyote pale mtu anapokubali kushiriki kwa hiari yake mwenyewe hata kama yupo under influence ili mradi sio minor ndio maana hata huyo Lupita jamaa alikuwa anatumia njia za kawaida kumshawishi kumchua akiamini itakuwa rahisi kwake kumpata so sioni kosa hapo

Nakwambia inabidi tubadilishe mtazamo kwa sababu mimi naamini 90% ya wanawake wote duniani ngono yao ya kwanza either wameshiriki kwa kulazimishwa au kushawishiwa na mambo flani ambayo wewe unataka kuniambia ni aina ya unyanyasaji, i bet that is nature na ndio maana wanyama ambao wanaendeshwa na sirika wala sio akili hawabaki bali wanajamiiana (jogoo kumkimbiza kuku mtetea sio kwamba anambaka bali zile ndio njia zao za asili sirika katika kujamiiana)

Na kwa taarifa yako Marital rape is real but not real in real life as marriage are binded by GOD's law, na hii mara nyingi ipo hasa pale mwanandoa mmoja anapokuwa mgonjwa au unfit na kesi hizi nyingi zinaishia kijamii na kifamilia zaidi na hata sheria zake bado zinamapungufu sana na zinapingana

Marital rape naweza kuifananisha na kesi ya Mwanaume kubakwa na Mwanamke sababu kimsingi hili mwanaume ashiriki tendo lazima viungo vyake vya uzazi viwe tayari,na kibiolojia hili viungo vya uzazi viwe tayari(erect) lazima kiakili ukubali na uridhie so technically hujabakwa bali umefanya kwa kupenda...period
 
Kama unatishiwa kufukuzwa kazi au kunyimwa Kazi usipolala na boss ni unyanyasaji ndio.

kampuni yangu kosa la nini labda huko serikalini,halafu tafsiri sahihi ya unyanyasaji bado inamnufahisha zaidi mwanamke kuliko mwanaume na ndio maana inawakuta sana watu maarufu eg.Tyson,2pac,R.kelly na sasa Nelly

labda mamlaka zitoe muongozo wa sheria za kutongoza hapo sawa
 
You cannot be serious. By your logic unaweza kusema una haki ya kulazimisha ngono as part of the interview process as long as kampuni ni yako? The law doesn't work that way. Au ndo kama wale baba mwenye nyumba kulala na house girl kisa anaishi kwake?

Sheria zinawakinga (na si kunufaisha) wanawake sababu asilimia 99 ya wabakaji ni wanaume! Men have power ( physical and economic) ambayo wanatumia vibaya.
Tyson alibaka.
R.Kelly alibaka na anaendelea kubaka mpaka leo mwanaume miakia 50+ kutembea na vitoto vya high school. Tena anafahamika huko Chicago anashinda mashuleni kunyemelea vitoto visivyokua na akili. alimuoa aaliyah akiwa na miaka 27 Aaliyah was underage. That man is guilty and needs to be in jail.
 
Ndio maana nikasema inabidi mtazamo kuhusu unyanyasaji wa kijinsia na ubakaji ubadilike, kampuni ya MIRAMAX si ya kwake kwahiyo inawezekana hivyo ni vigezo vya kuwin audition katika hizo interview zake so kimsingi kunakuwa hakuna violation of law yoyote hapo collect me if i'm wrong

Ni kinyume na sheria kuweka ngono kama prerequisite ya kupewa kazi. Acha ku-support hii idea.

na sidhani kama kutakuwa na reasonable doubt yoyote pale mtu anapokubali kushiriki kwa hiari yake mwenyewe hata kama yupo under influence ili mradi sio minor ndio maana hata huyo Lupita jamaa alikuwa anatumia njia za kawaida kumshawishi kumchua akiamini itakuwa rahisi kwake kumpata so sioni kosa hapo

Soma link mwenyewe hii hapa, in Lupita's own words. Sidhani kama umeelewa kilichotokea:

Opinion | Lupita Nyong’o: Speaking Out About Harvey Weinstein

Nakwambia inabidi tubadilishe mtazamo kwa sababu mimi naamini 90% ya wanawake wote duniani ngono yao ya kwanza either wameshiriki kwa kulazimishwa au kushawishiwa na mambo flani ambayo wewe unataka kuniambia ni aina ya unyanyasaji, i bet that is nature na ndio maana wanyama ambao wanaendeshwa na sirika wala sio akili hawabaki bali wanajamiiana (jogoo kumkimbiza kuku mtetea sio kwamba anambaka bali zile ndio njia zao za asili sirika katika kujamiiana)

Sasa hiyo asilimia 90 unaona ni sawa? Instead of changing the law, why don't men change? Yaani wewe mwenyewe unasema kuwa ngono ya kwanza ya mwanamke ni ya kulazimisha, sasa kwanini umlazimishe?? Wanawake si kuku, wanaume si jogoo. kuna madhara mengi ya kisaikolojia na kimwili yanayotokea ukiforce mahusiano kama haya , tafadhali fikiria ulichoandika hapo juu na jiulize mara mbili ni wapi unaelekea na fikra za namna hii.

Na kwa taarifa yako Marital rape is real but not real in real life as marriage are binded by GOD's law, na hii mara nyingi ipo hasa pale mwanandoa mmoja anapokuwa mgonjwa au unfit na kesi hizi nyingi zinaishia kijamii na kifamilia zaidi na hata sheria zake bado zinamapungufu sana na zinapingana

Marital rape naweza kuifananisha na kesi ya Mwanaume kubakwa na Mwanamke sababu kimsingi hili mwanaume ashiriki tendo lazima viungo vyake vya uzazi viwe tayari,na kibiolojia hili viungo vya uzazi viwe tayari(erect) lazima kiakili ukubali na uridhie so technically hujabakwa bali umefanya kwa kupenda...period

Watu waliobakwa mara nyingi huona aibu (shame) kuongelea hili jambo sababu mara nyingi unakuta wamedhalilishwa miili yao lakini unakuta kuna raha fulani wanayoweza kuexperience sababu kibaolojia miili yetu imetengenezwa kureact to stimulation. Kwahiyo unakuta ndio mwanaume anaweza kubakwa hata akiwa na erection because an erection is a physical response to stimulation. Sawa sawa na mwanamke ambae anaweza kufika kileleni via rape. It is unfortunate but it happens and it is what makes rape a very complex, traumatic experience.
 
Hawa wazungu naona wamezidi sasa! Sasa kama jamaa anakutana na wanawake warembo kwenye tasnia ya filamu kwAnini asipite nao?! Hey
 
hv kanumba ndio aliyefungua asali ya lulu? au
Dk.Manyaunyau alikuwa ashapita,ikaja zamu ya mwungine na mwinginebndo ikaja zamu ya Kanumba,Komba,sasa siku hiyo wakauliza,zamu ya nani leo,Alikiba.Kanumba akagoma ndo yakamkuta yaliyomkuta.Nenda mwana kwenda,,,,zamu ya nani leo? Ma_J ,Ma J,Majizooooooo.
 
Lupita muhenga asiyezeeka
sijawahi muona ametumia mavipodozi yaani yuko natural
 
Kama marehemu Kanumba alivyomfanyia Lulu kipindi hicho kalivyokuwa hata manyonyo hayajaota.
Mkuu kanumba ana kesi ya kujibu, km sio kifo kilimuumbua nani angejua kanumba anam-date Lulu?ukiachia tofauti zao za kiumri na ata kimaumbo, nani aliwahi kufikiri kuwa wawili hao walikuwa na mahusiano ya kimapenzi? Binafsi naamin kanumba anapaswa kufunguliwa kesi ya unyanyasaji wa watoto wa kike.
 
Ukinisoma between the line utanielewa ninachomaanisha na pia wewe nimekuelewa unachomaanisha, it is all about "kukubaliana kutokubaliana"--Kikwete

Suala la mahitaji ya kingono limetofautiana baina ya ME na KE (lazima ilo tukubaliane kwanza) na kutokana na tofauti hizo limekuwa likiwaathili sana wanaume bila kuangalia mahitaji yao ya kibailojia

Kwa mwanaume kumtamani mwanamke kingono ilo ni suala la kihasili na hakuna muongozo au kipimo sahihi (iwe cha kisheria au cha kijamii) cha kuamua, kwa hiyo kumpenda mfanyakazi wako kingono sio kosa ni suala la yeye kuamua kukubali ama kukataa na suala la POSITION OF TRUST linawaangalia sana minor(under legal age) kuliko major (ABOVE AGE)

hiyo link ya LUPITA nimeisoma na nimeielewa sana, Mr.Weinstein hana kosa hapo kwa maana hayo ni matukio yanayowatokea wanawake wote kila siku suala la kumkonvise ni kawaida na la kihasili...labda mtuambie tutumie njia gani ambayo nyinyi mnahisi ni sahihi?

Mwanaume hawezi kuchange kamwe maana uanaume ni hasili na unaendeshwa kibiolojia zaidi labda nikuulize wewe "hivi unadhani ni kwanini baadhi ya jamii zinamtaka mwanamke kutoonesha maumbile yake (mwili)" nafikiri ni kuepukana na matukio kama haya, mfano jana hapa kuna actress amemtuhumu raisi Bush baba mwenye miaka 93 kwamba alimshika matako wakati wanapiga picha...tafuta hiyo picha dhen jiulize kwanini mzee mwenye miaka 93 tena yupo kwenye wheelchair amshike matako binti mdogo pia angalia kivazi alichovaa dhen make conclusion

Wanawake ndio inabidi mchange mienendo yenu ili kubadilisha jamii sababu wanaume tuna involuntary action toward opposite sex nafikiri watu wa medicine wamenielewa zaidi na Lupita anataka kiki tu hakuna kingine maana jamaa alikuwa anamtongoza kikubwa zaidi, mfano hata wewe HoneyBee naturally kuna swaga au maongezi nikikupa utajua kabisa this chuma cha reli anataka game so nashangaa kwa kipindi chote cha matukio hayo LUPITA hakujua...period
 
You cannot be serious. By your logic unaweza kusema una haki ya kulazimisha ngono as part of the interview process as long as kampuni ni yako? The law doesn't work that way. Au ndo kama wale baba mwenye nyumba kulala na house girl kisa anaishi kwake?

Sheria zinawakinga (na si kunufaisha) wanawake sababu asilimia 99 ya wabakaji ni wanaume! Men have power ( physical and economic) ambayo wanatumia vibaya.
Tyson alibaka.
R.Kelly alibaka na anaendelea kubaka mpaka leo mwanaume miakia 50+ kutembea na vitoto vya high school. Tena anafahamika huko Chicago anashinda mashuleni kunyemelea vitoto visivyokua na akili. alimuoa aaliyah akiwa na miaka 27 Aaliyah was underage. That man is guilty and needs to be in jail.

Sorry umenielewa vibaya, nilichomaanisha ni kwamba MEN WE ARE SEX BEAST NATURALLY so tunaweza kumtamani mwanamke katika mazingira yoyote yale, na suala hapa sio kulazimisha maana hilo liko more subjective na term ya kisheria inayoangukia hapa ni POSITION OF TRUST ambayo inawahusu sana watumishi wa umma ama ipo hasa kwa waalimu,Doctors na Police

So technically huwezi kuweka kwenye makaratasi hivo vigezo pia huwezi kuwatamani wanawake wote as long ni wale uliowapenda hama wanaokuvutia kimapenzi

hivi umeshawai kujiuuliza kwanini wanaume tunabaka labda mada ijikite hapa zaidi...naomba jibu.

Suala la R.kelly kumuoa Aaliyah siwezi kuliongelea sana maana story yake ni ya muda mrefu sana na ile inawezekana ilikuwa ni njia ya kupromote album ya Aaliyah ya AGE AIN'T NOTHING BUT A NUMBER pia
miaka 14 mbona ni legal age kwa mwanamke kufunga ndoa ili mradi mahakama ilidhie...hata sheria ya ndoa ya Tz ipo ivo
 
Ila Mimi Lupita namuona skin sana yaani hanibabaishi,sijui jamaa Lilikuwa Faru John.
 
Huyo Lupita Nyong'o mbona hakusema mwanzo kabisa? Kasubiri mpaka wengine wameshajitokeza ndiyo na yeye analeta story yake hiyo. Hata wanawake wengine ambao walikubali kwa matakwa yao sasa wanajitia eti aliwa-rape. Wanafikiri watalipwa hela kirahisi!
 
Niliisoma ile piece aliyoandika Lupita The New York Times siku ilipotoka. Link ipo hapo chini.

Ukiisoma utaona kwa nini huyu binti anakuwa juu kimataifa, na unaona tofauti ya waigizaji wetu Bongo na mtu kama Lupita.

She was very articulate, very nuanced and as open/vulnerable as can be under the circumstances.

Opinion | Lupita Nyong’o: Speaking Out About Harvey Weinstein
 
Back
Top Bottom