bombei_safaya
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 311
- 286
Kamuulize prof kadege kati ya kanumba na lulu nani anastahili kwenda jelaMkuu kanumba ana kesi ya kujibu, km sio kifo kilimuumbua nani angejua kanumba anam-date Lulu?ukiachia tofauti zao za kiumri na ata kimaumbo, nani aliwahi kufikiri kuwa wawili hao walikuwa na mahusiano ya kimapenzi? Binafsi naamin kanumba anapaswa kufunguliwa kesi ya unyanyasaji wa watoto wa kike.
Kamuulize prof kadege kati ya kanumba na lulu nani anastahili kwenda jelaMkuu kanumba ana kesi ya kujibu, km sio kifo kilimuumbua nani angejua kanumba anam-date Lulu?ukiachia tofauti zao za kiumri na ata kimaumbo, nani aliwahi kufikiri kuwa wawili hao walikuwa na mahusiano ya kimapenzi? Binafsi naamin kanumba anapaswa kufunguliwa kesi ya unyanyasaji wa watoto wa kike.
Sorry umenielewa vibaya, nilichomaanisha ni kwamba MEN WE ARE SEX BEAST NATURALLY so tunaweza kumtamani mwanamke katika mazingira yoyote yale, na suala hapa sio kulazimisha maana hilo liko more subjective na term ya kisheria inayoangukia hapa ni POSITION OF TRUST ambayo inawahusu sana watumishi wa umma ama ipo hasa kwa waalimu,Doctors na Police
So technically huwezi kuweka kwenye makaratasi hivo vigezo pia huwezi kuwatamani wanawake wote as long ni wale uliowapenda hama wanaokuvutia kimapenzi
hivi umeshawai kujiuuliza kwanini wanaume tunabaka labda mada ijikite hapa zaidi...naomba jibu.
Suala la R.kelly kumuoa Aaliyah siwezi kuliongelea sana maana story yake ni ya muda mrefu sana na ile inawezekana ilikuwa ni njia ya kupromote album ya Aaliyah ya AGE AIN'T NOTHING BUT A NUMBER pia
miaka 14 mbona ni legal age kwa mwanamke kufunga ndoa ili mradi mahakama ilidhie...hata sheria ya ndoa ya Tz ipo ivo
kwenye kesi hii ya lupita mbona jamaa alikua anatumia trick za kawaida kabisa ambazo kimsingi wanawake ndio huzitumiaga kututegaNadhani kuko na wanaume wa aina mbili kuna wale ambao wako kama Wanyama hawawezi Ji control na kuna wale wako na utashi wa binadamu. Tumeaona wanaume wako powerful na wana deal na warembo but wana jiheshimu wao na familia zao.
Chini hakuzeeki mjomba.Lizee lizima bado halikui
Trial within a trial, kabla ya Lulu kuukumiwa mahakama ilitakiwa ipime unyama aliofanyiwa Lulu na babu Kanumba.Kama marehemu Kanumba alivyomfanyia Lulu kipindi hicho kalivyokuwa hata manyonyo hayajaota.
kwenye kesi hii ya lupita mbona jamaa alikua anatumia trick za kawaida kabisa ambazo kimsingi wanawake ndio huzitumiaga kututega
Hizi ni tabia za ki-teenager sio za mijitu mizima kama huyu mzee mkomavuFafanua mkuu
Huu ni mtazamo wako tu kuwagroup wanaume katika makundi haya mawiliNadhani kuko na wanaume wa aina mbili kuna wale ambao wako kama Wanyama hawawezi Ji control na kuna wale wako na utashi wa binadamu. Tumeaona wanaume wako powerful na wana deal na warembo but wana jiheshimu wao na familia zao.
Sasa hapa ndio umekuja kwenye point na yeye Weinstein akumlazimisha Lupita bali alitumia influence yake na kwa vile Lupita alikataaa basi akaachana naeSasa uamuzi ni wake akatae au akubali, lakini kutumia power ili uoate MTU huo ni unyanyasaji, wanawake wanawatega kwa sababu wanajua weakness yenu na unaweza kuwa ignore vile vile hawajakushikia bunduki
inaniwia vigum sana kuelewaHivi kuliwa papuchi ni kunyanyaswa kijinsia?
Suala la tabia za kingono halina umri mkuu ni kwamba umri unavyozidi kwenda ndio mzuka unavyopungua taratibuHizi ni tabia za ki-teenager sio za mijitu mizima kama huyu mzee mkomavu
Ni mtazamo wako ila mimi nionavyo ni tofauti.Suala la tabia za kingono halina umri mkuu ni kwamba umri unavyozidi kwenda ndio mzuka unavyopungua taratibu
Ila mahitaji ya kingono kama starehe yapo pale pale ingawa inatagemea upo kwa status gani ya kiuchumi nafiri ilo ndio linalotukuta wengi
Iko hivo ndugu sio mtazamo na wewe kuona tofauti haiwezi kuwa kama unavyosema wewe eti ni utinejaNi mtazamo wako ila mimi nionavyo ni tofauti.
Hahahahamiss zomboko naomba tuwe marafiki niwe nakukanda hiyo chura yako please![emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi Dorry...,Nadhani kuko na wanaume wa aina mbili kuna wale ambao wako kama Wanyama hawawezi Ji control na kuna wale wako na utashi wa binadamu. Tumeaona wanaume wako powerful na wana deal na warembo but wana jiheshimu wao na familia zao.
Huu ni mtazamo wako tu kuwagroup wanaume katika makundi haya mawili
Umekosea kumfananisha mwanaume na mnyama katika muktadha huu maana wanyama hawafanyi ngono kwa starehe wao hujamiiana kwa uzarishaji tu so technically madume hayawezi kumuingilia jike kama atakuwa hayupo kwenye heat
Suala la wanaume kuijicontrol pia linategemea upande wa wanawake kujicontrol mavazi na mipaka ,unakuta binti amevaa nusu uchi tena anongea kwa madaha (nafikiri wewe unaweza usione kitu chochote cause you're a female) usimchombeze kwanini
Wanaume tuna involuntary action toward opposite sex na hata hao unaosema wanajieshimu ni kwamba tu wanavumilia mengi
Hivi Dorry...,
Mimi ni bosi.., lakini mwanaume niliyekamilika... Umekuja ofisini au nyumbani kwangu, mtoto una shape inaita.., chuchu hazijavishwa sidiria.. halafu umevalia kimitego mitego.., unazungusha zungusha macho kama kinyonga anaevizia wadudu... Hivi kweli nihamasike halafu nikae kama fala tuu nakutazama tuu...?! Naturally as a man..., nahamasika kingono kwa kuona..., na wanawake wote mnajua hili..
Kisa.., mimi mkubwa kiumri au bosi...?!
Then, sitakua mwana mume basi kukutazama tuu, nakuogopa kwani ...?! Kumtamanisha mwanaume na kumyima ngono ni UKATILI kabisa a... [emoji23]
Unaweza ukanitolea nje kunipa, lakini naturally utakua umenikosea kwa makusudi kabisa... Na hapa ktk hili.., lazima sheria zilinde wanaume...
Otherwise wanaume watapewa kesi za hovyo kila wakati...