Weinstein alitaka kulala na Lupita Nyong'o

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 

Wengine wala hawakutegi Bali huo ni uvaaji wao wa ovyo. Lupita ni celebrity so anatafuta kiki. Otherwise hata wake zenu wanatongozwa kila siku ila hawa announced
 
Hata wanaume..., na hasa mimi..., sio kila mwanamke akikaa vibaya namtamani..., HAPANA..!
Viko vionjo vinavyomwinua mwanaume baada ya kuona, afikirie kutongoza na kula..

Kwa maneno mengine, bosi wako hapati credit eti ni mwanamme wa ajabu kwa kua tuu alimkwepa GUBELI mmoja...
 

Ghubeli alikuwa mrembo sana tu hata wanaume wenzake walimshangaa why kamtimua. Ila ndio hivyo alisema anaogopa punishment ya Mungu. Na alifananisha mwanamke sawa na shetani anaweza kukuharibia maisha yako yote so bora akimbie shetani.
 
Kumbe umesema kuna wanaojizuia, basi sawa

Hili kuna ambao hawawezi kujizuia na hilo pia sio kosa...period
 
Unaweza mfukuza kama hutaki kama unataka hakuna anayekuzuia otherwise hata binti yako anatamanisha so ni vizuri kuji control.
Tangu wanaume wanakua ktk familia na jamii...., wanafundishwa kusoma behavior za wanawake.., wanapewa MIIKO, mwanamke gani sawa na nani ni wa kuomba mchezo au kuliwa..
Kwa jamii nyingi za kwetu Tz.. , ni KOSA kimila, kiutamaduni na kisheria kutembea na MAMA, DADA, MTOTO, au BINTI yako...
Nafikiri na nyie wanawake mnafundishwa pia namna ya ku behave mbele ya ndugu zenu wa kiume..
 
Hivi kuliwa papuchi ni kunyanyaswa kijinsia?
Ndiyo kwa sababu unakuwa umeanzia kwenye " Unwanted Sexual Advancement " na mtu usiyempenda wala kuvutiwa naye! Unafanyiwa kitendo ambacho hakikuwa kwenye mipango yako na hukutarajia mtu Huyu ana atasubutu kukuambia. Yaani ni kumuona mwanamke mbele yako kama mtu Wa kufanya naye ngono tu unapotaka!
 
Kasubiri apate tuzo ndio aanze kulia lia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…