Weinstein alitaka kulala na Lupita Nyong'o

Weinstein alitaka kulala na Lupita Nyong'o

Hivi Dorry...,

Mimi ni bosi.., lakini mwanaume niliyekamilika... Umekuja ofisini au nyumbani kwangu, mtoto una shape inaita.., chuchu hazijavishwa sidiria.. halafu umevalia kimitego mitego.., unazungusha zungusha macho kama kinyonga anaevizia wadudu... Hivi kweli nihamasike halafu nikae kama fala tuu nakutazama tuu...?! Naturally as a man..., nahamasika kingono kwa kuona..., na wanawake wote mnajua hili..
Kisa.., mimi mkubwa kiumri au bosi...?!

Then, sitakua mwana mume basi kukutazama tuu, nakuogopa kwani ...?! Kumtamanisha mwanaume na kumyima ngono ni UKATILI kabisa a... [emoji23]
Unaweza ukanitolea nje kunipa, lakini naturally utakua umenikosea kwa makusudi kabisa... Na hapa ktk hili.., lazima sheria zilinde wanaume...
Otherwise wanaume watapewa kesi za hovyo kila wakati...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Sasa hapa ndio umekuja kwenye point na yeye Weinstein akumlazimisha Lupita bali alitumia influence yake na kwa vile Lupita alikataaa basi akaachana nae
Suala la Lupita kuadithia halina maana kabisa sababu wanawake wanatongozwa kila siku

Sasa kama wanatutega kwanini tukimega tunaonekana wabaya tena

Wengine wala hawakutegi Bali huo ni uvaaji wao wa ovyo. Lupita ni celebrity so anatafuta kiki. Otherwise hata wake zenu wanatongozwa kila siku ila hawa announced
 
Toka nakua mpk nazeeka siku zote nasikia wanaume wakijisifia wao ni kama Wanyama tuangalie sex drive ya Wanyama ndio sawa na yao. Na ndio maana hata wanajiita vijogoo. Wapo wanaume wanaweza kuhimili hivyo vishawishi ndio maana wengine hata uvae nini wala hawasumbuki nakumbuka bosi wangu kuna mwanamke alimpenda akawa wanavaa na kufanya vituko siku ya siku akaenda ofisini kwa bosi almost naked bosi alichokifanya alitoka akaulizia kama kuna mwanamke ana mtandio au khanga akapewa akampa huyo ghubeli akatoka ofisini kwa bosi na aibu na kazi aliacha mwenyewe so still bado kuna wanaume wako na utashi wa kujitambua na kuji control. Ukishaweka kitu kichwa ni kwako basi utasumbuka sana.
Mimi mwenyewe ni mwanamke lakini kuna aiina Fulani ya wanaume nawapenda but najitahidi kuko control hisia zangu.
Hata wanaume..., na hasa mimi..., sio kila mwanamke akikaa vibaya namtamani..., HAPANA..!
Viko vionjo vinavyomwinua mwanaume baada ya kuona, afikirie kutongoza na kula..

Kwa maneno mengine, bosi wako hapati credit eti ni mwanamme wa ajabu kwa kua tuu alimkwepa GUBELI mmoja...
 
Ghubeli alikuwa mrembo sana tu hata wanaume wenzake walimshangaa why kamtimua. Ila ndio hivyo alisema anaogopa punishment ya Mungu. Na alifananisha mwanamke sawa na shetani anaweza kukuharibia maisha yako yote so bora akimbie shetani.
 
Toka nakua mpk nazeeka siku zote nasikia wanaume wakijisifia wao ni kama Wanyama tuangalie sex drive ya Wanyama ndio sawa na yao. Na ndio maana hata wanajiita vijogoo. Wapo wanaume wanaweza kuhimili hivyo vishawishi ndio maana wengine hata uvae nini wala hawasumbuki nakumbuka bosi wangu kuna mwanamke alimpenda akawa wanavaa na kufanya vituko siku ya siku akaenda ofisini kwa bosi almost naked bosi alichokifanya alitoka akaulizia kama kuna mwanamke ana mtandio au khanga akapewa akampa huyo ghubeli akatoka ofisini kwa bosi na aibu na kazi aliacha mwenyewe so still bado kuna wanaume wako na utashi wa kujitambua na kuji control. Ukishaweka kitu kichwa ni kwako basi utasumbuka sana.
Mimi mwenyewe ni mwanamke lakini kuna aiina Fulani ya wanaume nawapenda but najitahidi kuko control hisia zangu.
Kumbe umesema kuna wanaojizuia, basi sawa

Hili kuna ambao hawawezi kujizuia na hilo pia sio kosa...period
 
Unaweza mfukuza kama hutaki kama unataka hakuna anayekuzuia otherwise hata binti yako anatamanisha so ni vizuri kuji control.
Tangu wanaume wanakua ktk familia na jamii...., wanafundishwa kusoma behavior za wanawake.., wanapewa MIIKO, mwanamke gani sawa na nani ni wa kuomba mchezo au kuliwa..
Kwa jamii nyingi za kwetu Tz.. , ni KOSA kimila, kiutamaduni na kisheria kutembea na MAMA, DADA, MTOTO, au BINTI yako...
Nafikiri na nyie wanawake mnafundishwa pia namna ya ku behave mbele ya ndugu zenu wa kiume..
 
Hivi kuliwa papuchi ni kunyanyaswa kijinsia?
Ndiyo kwa sababu unakuwa umeanzia kwenye " Unwanted Sexual Advancement " na mtu usiyempenda wala kuvutiwa naye! Unafanyiwa kitendo ambacho hakikuwa kwenye mipango yako na hukutarajia mtu Huyu ana atasubutu kukuambia. Yaani ni kumuona mwanamke mbele yako kama mtu Wa kufanya naye ngono tu unapotaka!
 
Back
Top Bottom