atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,786
- 3,522
Unalima Ruaha ipi? mbegu ipi ina soko zuri? Miezi ipi vitunguu vinakuwa na market? Pia shamba heka bei gani?Mi nalima kitunguu nalimia Ruaha...uliza chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalima Ruaha ipi? mbegu ipi ina soko zuri? Miezi ipi vitunguu vinakuwa na market? Pia shamba heka bei gani?Mi nalima kitunguu nalimia Ruaha...uliza chochote
Ha ha ha...... Kila kitu kina taratibu zake mkuu. Mimi sijawahi kusafisha, nimelima misimu 2 na kutunza, kwa hayo ninaweza kukushauri kwa lolote. Ila ni sawa na ukasikia biashara ya samaki inalipa then ukaenda kuwapakia kwa fuso bila kuzingatia cold storage, utawakimbia. Do your homework then do businessVangigula mm ndugu yangu alivikimbia vitunguu baada ya kuvinunua Lumumaakaja shusha soko la Majengo Dodoma kwa vile s
wiki hilo vilitangulia vywa wenzake yeye wakamsubirisha
kwanini asikute vimeshaanza kuota?
sasa hapo sijui ni kitu gani joto la kwenye gari na hapo stoo
hata leo hataki tena
labda nijaribu na mm tena
Hongera sana mkuu. Vipi, unatumia njia gani kumwagilia?Mimi nimeingia shambani mwenyewe with less capital navuna decemberView attachment 371449
Asante mkuu.kuna maji ya mfereji na ya kuchimba.Hongera sana mkuu. Vipi, unatumia njia gani kumwagilia?
akili ni nyweleKumbe ninyi ndio mnaoficha vitunguu, ngoja tutawafata huko huko shambani na gunia moja tutanunua kwa 25, 000/=. Acheni kuficha vitunguu kama sukari.
Tutawanyoa vipara hizo nywele zenu halafu tutanunua gunia kwa bei ya karibu na bure.akili ni nywele
Mkuu, mimi mwenyewe nalima kitunguu na kuweka. Ninakuza tu mtaji, na nikishafikia uwezo wa kununua kitunguu cha at least 30M, naacha kulima. Kwa nini? Kwa sababu, changamoto na uncertainties kwenye kununua na kuhifadhi ni chache na manageable kuliko za kulima. Besides, namna unavyoweza kudeal na changamoto ndo kunavyotofautisha faida yako na ya yule. Cha msingi, fanya utafiti, naamini kama utafanya kwa weledi, changamoto zake na faida zake utazibainisha tu.Hiz post huwa hamuangalii upande wa changamoto zake nyie ni kusema tu utapata faida kias flan unazan soko,hal ya hewa ,na Vingine vinakusubir ww