Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
DIGITAL SECURITY:
FUATILIA TAARIFA ZAKO KUJILINDA MTANDAONI
Jinsi ya Kuweka Arifa za Google ('Google Alerts') Ili Kufuata Jina Lako au Taarifa Zako Zinapowekwa Mtandaoni:
1. Tembelea 'search engines' kama 'Google' kisha andika Google Alerts
2. Andika jina lako au taarifa unayotaka kufuatilia katika kisanduku cha juu cha utafutaji.
3. Badilisha mipangilio kulingana na upendeleo wako:
4. Kamilisha kwa kubofya kitufe cha "Unda Arifa" (Create Alerts).

- Chagua ni mara ngapi unataka kupokea tarifa,
- Aina za tovuti ambazo unataka kufuatilia,
- Lugha unayotaka kutumia,
- Eneo au nchi unayotaka kupata taarifa zako,
- Idadi ya matokeo unayotaka kupokea,
- Barua pepe itakayopokea arifa hizo.