ok washike masikioWee kama unaogopa kuweka kaa pembeni
huu uzi ni wa kupuuzwa kabisa.Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
kuna kitu kinaitwa phishing. sio rahisi kama unavyozani.Acha zako
Watu wanajadili mambo makubwa wanahatarisha màisha yao af unasemA waweke Cv??Acha zako wewe!
Mkuu unaemtafuta umempata?Wekeni CV zenu ndugu zangu hii ni fursa nzuri tuitumie
Naní aweke CV hapaWatu wanaogopa sijui shida ni nini
Aghrrrrrrrrrrrrrrrhhhhh!!!!
Dahh! Mtu aweke CV then umtafutie ajira!!!!!!!!!!!!! kwani we ni wakala wa Ajira?Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
We kama huogopi mbona huweki yako,umekazana tu acha zako[emoji23]weka kwanza yako tuone mfanoWatu wanaogopa sijui shida ni nini
Aghrrrrrrrrrrrrrrrhhhhh!!!!
Wewe mwenyewe umesha ajiriwa ama umejiajiri?Habarini ndugu wajamvi !nimatumaini yangu mu wazima
Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza,Uzi huu ni maalum kwa wana jf kuweka CV zao kama vile vyeti vya elimu mbalimbali (shule ,chuo au kampuni) ,leseni yako(maalum Kwa madereva) .Lengo la kufanya hivyo ni kuwawezesha wana jf kupata kazi Kwa urahisi na kuacha kuzunguka zunguka na bahasha kwenye ofisi mbalimbali
Vilevile tunawasaidia wale wanaotaka kuwaajiri watu waweze kuwapata Kwa urahisi Kwa kuangalia CV zao humu.
Nawasilisha.
Hatuna cvWekeni CV zenu ndugu zangu hii ni fursa nzuri tuitumie