evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,772
- Thread starter
- #81
Wekeni CV changamkieni fursa[emoji20][emoji20][emoji20]
ngoja waje
Siyo rahisi Kama unavyofikiri.. Hivi vitu ni confidential.
Umetumwa na nani? Hupati mtu!!! Utasubiria sana.
Hujampata mtu kwa style hii budaa [emoji41][emoji41][emoji41]
Watu mmekosa vitu vya kupost namna hii
Tungeanza na wewe ingependeza zaidi.
Na sie ambao tunaopenda kulima tutume nini?