Weka CV yako hapa

Weka CV yako hapa

Za saiz nimemaliza Bachelour of Cooperative Management and Accounting katika chuo cha ushirika Mosh natafuta kazi
Weka CV yako ilikuvutia waajiri zaidi Kama vile vyeti vya sekondari na chuo
Ahsante!
 
Si kuna jukwaa la ajira mkuu , au hili ni party two yake?
 
Usiwasemee watu
Kama kweli unahitaji kutoa ajira au kweli kutafutia watu ajira nenda Instagram au Facebook angalau huko huku hata MTU umuambieee unampa milioni sasa hivi hakuna atakaekupa maelezo kamili kizembe kiasi hiko.
 
watu wa makumbusho hawa .....wamechoka kweli fanyeni kazi za kujenga nchi yetu na sio haya
 
Nnavyojua mimi usingehitaji CV
Ya mtu humu bali ungetoa maelezo kama nnakampuni yangu unaitaja ,ungeendelea nahitaji vijana wenye sifa zifuatazo unazitaja, idadi unayotaka then unaweka email adress yako au kampun husika .......hapo ingekua rahis kwa wanaohitaji kutiririka kwenye email hzo lkn si humu jf
 
Jina: Mwifwa

Tarehe ya kuzaliwa: Angalia profile yangu.

Jinsia: ME

Makazi: Hapa nilipo

Elimu: Najua Kusoma na Kuandika

Kazi: Mwana JF.

Marital status: Nina mchepuko.


 
Picha yangu hiyo hapo sina CV Nina picha ya school
 

Attachments

  • 1516809233563.jpg
    1516809233563.jpg
    40.2 KB · Views: 37
Kwani hii fursa ni special kwa ajili ya JF members tu?
 
Changamkieni fursa wana jf
 
Back
Top Bottom