Weka CV yako hapa

Weka CV yako hapa

hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] hata mbinu za ushawishi hana, kama ndo boss mwenyewe huyu aisee hatari tupu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ina maana huko mtaani hakuna waohitaji ajira mpaka aje huku jf alaf yeye ya kwake anaikatalia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] hata mbinu za ushawishi hana, kama ndo boss mwenyewe huyu aisee hatari tupu.
Asante
Wataarifu ndugu na majirani zako wachangamkie fursa ya ajira
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ina maana huko mtaani hakuna waohitaji ajira mpaka aje huku jf alaf yeye ya kwake anaikatalia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
hapo sasa....[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28]
 
Unataka watu wa profession gani?

Naweza weka CV kumbe unataka madaktari
Usihofu weka tu sio lazima uajiriwe na Mimi kuna waajiri wanaotaka watu wenye fani tofauti tofauti
 
Hakuna ushahidi wowote unaoonyesha waajiri wana changamoto ya kupata Cv! Hakuna ushahidi wowote unaoonyesha Cv ndio kikwazo cha vijana kutokapata kazi!
Out of topic
 
Za saiz nimemaliza Bachelour of Cooperative Management and Accounting katika chuo cha ushirika Mosh natafuta kazi
 
Back
Top Bottom