RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kuna moja iliungua majira ya usiku huko Buguruni miaka ya nyuma kidogo alipona mwanafamilia mmoja tu ambae alienda club usiku huo.Uko sahihi mimi nimeweka mlango wa dharura naufungia kwa ndani tu ukiwa nje huwezi kuufunga wala kufungua,kuna nyumba iliungua buguruni,familia inaungua inajona wakawa wanaagana kabisa na majirani,haya baba nanii wasalimie huko mbingumi