Weka dirisha la dharura kwenye nyumba yako, nyumba siyo gereza

Uko sahihi mimi nimeweka mlango wa dharura naufungia kwa ndani tu ukiwa nje huwezi kuufunga wala kufungua,kuna nyumba iliungua buguruni,familia inaungua inajona wakawa wanaagana kabisa na majirani,haya baba nanii wasalimie huko mbingumi
Kuna moja iliungua majira ya usiku huko Buguruni miaka ya nyuma kidogo alipona mwanafamilia mmoja tu ambae alienda club usiku huo.
 
Mazingira na ulinzi binafsi unakuruhusu. Huku kwetu uswahilini na hatuna mbwa au mlinzi nyumba yako itakuwa punching bag la vibaka.
 
This is incredible
 
Mazingira na ulinzi binafsi unakuruhusu. Huku kwetu uswahilini na hatuna mbwa au mlinzi nyumba yako itakuwa punching bag la vibaka.
Hapa kweli kabisa Jombaa. Niliwahi kuandika humu sehemu nilisema mazingira ya eneo ulilojenga ni muhimu sana kufanya kama nilivyofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…