Weka gari yako ya umeme itakayompoteza Lucid Air!

Mzee nenda ka google kitu inaitwa Byd yangwang u9, electric supercar, kitu inaweza fikisha 80% charge by 10 mins na ina double charge, ina mbwembwe kibao ikiwemo ku jump, ni tech inaitwa byd disus-x system ambayo inaweza tembea na tire 3, tank turn,


View: https://youtube.com/shorts/C9KIi7Ovt8E?si=Iqh0vER130tm_zXf

View: https://youtube.com/shorts/Gn8lN3c2y5w?si=iFGAvlqe0SpDtS1C

View: https://youtu.be/b3uFM_aoH8c?si=14fPaD9CmQXD5ZLx
Haya sasa bwana Mad Max leta maneno

Bei yake 232,000 USD
 
sijawahi zielewa gari za umeme kwa kweli

ila cyber truck kidogo inanivutia maana mimi hupenda monster trucks


Uzuri wa magari ya umeme, hayahitaji routine maintenance kama oil change n.k.

Hayana sauti kubwa. Hayatoi moshi/ hayana exhaust pipes, n.k.

Yana faida zake nyingi tu.

Ila moja ya downsides ni betri. Betri zake ni ghali sana.

Halafu ni mazito sana.

Cybertruck kwa mfano, lina uzito wa ratili 6000 na ushee. Hizo ni takriban kilo 2000 na ushee. Tani mbili!
 
Nimeielewa mkuu. Kali nakubali sana na Wachina kwa mbwembwe nawapa heshima.
 
Na uzito mkubwa utakua unatoka kwenye battery si Ndio?

Energy density ya battery Za EV bado ndogo, ila tuwape muda.
 
Na uzito mkubwa utakua unatoka kwenye battery si Ndio?

Energy density ya battery Za EV bado ndogo, ila tuwape muda.
Naam. Huo uzito ni kwa sababu ya betri zake.

Bado hakuna miundombinu inayoweza kustahimili uzito wa hayo magari bila kuleta madhara.

Pata picha parking garage yenye floors tatu au nne halafu yote iwe imajaa magari ya umeme.

Itakuwa ni majanga tu.
 
Kwakua hazipishani sana bei na Model S, ushuru wake utakua kwenye Mil 60+

View attachment 3087239
Mfano huo ushuru wa Model S ya 2020.
Hivi hii mikodi ya kukomoana yanini lakini, mikodi kama hiyo ni Kwa wanaojaribu kulinda viwanda vyao, sisi hatuna hata kimoja, Kwa kweli huu ujinga ndio maana umaskini hautatuacha, hata US nchi tajiri mara millioni kuliko TZ lakini Kodi ya kuagiza gari ni ndogo kuliko Tanzania, ukienda Bank interest ni karibu 20% na mikodi isiyo na tija kama hii Kila Kona then wafanyakazi wakuibie, hatutaendelea kamwe mpaka tubadilike
 
Hizo gari Raha yake ni kuendesha na husikii kelele na bei ni rafiki shida sidhani kama Kuna fundi tz wakuweza ku deal nayo ikileta shida
 
gari nzito ni salama sana barabarani ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…