sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hapo umepatia, wewe ndio unajua raha za duniaπBangi....Aisee huu mmea uacheni
Starehe Ni moja tuu Kati ya starehe zote ila bahati mbaya inadumu muda mfupi mno Second 10 tu basi.
Kuna mwana aliazima begi langu dogo la mgongoni siku kalirudisha nipo majalala hatari. Nina kasafari ka kwenda town halafu nina buku tu 500/= kwenda na nyingine kurudi, nipo kwenye daladala kulisachi nakuta 10k, you should have seen my face. I was glowing πππKukuta hela uliyoisahau kwenye suruali ukiwa uko majalala siku hiyo
Mkuu kwani lazima kila mtu apende unachopenda wewe?Ngono, mimi hua nashangaa eti kuna mwanaume anasema hapendi ngono, unajiuluza huyu ni mzima kweli ama ni shoga?
Mwanaume yoyote job description yako ya kwanza ni kuchapa mbunye, kuzichapa usiku mchana. Sasa mwanaume hupendi ngono unapenda nini?
Unakuta mwanaume anapenda pombe kuliko ngono, unashangaa hawa ni wanaume wa wa aina gani?