sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
1. Kuchelewa kulala na kuamka umechoka, ile unataka kujiandaa kuwahi kazini, kichwa kinatulia unagundua kumbe upo off au likizo.
2. Umebanwa sana na haja kubwa au ndogo, ile raha unayopata unapoiachia haja iliyokutesa haina mfano. Mi huwa nafunga macho kabisa kama ni ndogo
3. Weekend umepigika zako home huna hata pesa ya pepsi, mara paap SMS inaingia, Imethibitishwa ya kiasi flani cha kwenda nje kujidai 😁
4. Kujisafisha maskio, kuna kasehemu flani ukisafisha na pamba unapata stim kali sana hadi macho yanapinduka