Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 1,915
- 5,750
Aisee mwaka flan nilipigwa hela ndefu tuu (story ndefu), nikawa majalala ile mbaya, nikakopa kias flan nikaingiza kwenye biashara kiuoga kinyama. Baada ya wiki sita nikiwa juu ya mawe nikakuta 50K kwenye kitabu cha TB Joshua. Nikakumbuka niliwekaga kitambo hela humo nikawa natoa kidogo kidogo, nilipopigwa nikadhani nilizimaliza zote.Kukuta hela uliyoisahau kwenye suruali ukiwa uko majalala siku hiyo
Juzi nimetumia hela yakula kulipia mchango wa dharula ofisini, nikawa nawaza pasi ndefu mpaka nirudi home, mara paap... msimbazi upo katikati ya notebook.