Weka hapa starehe zenye kuleta raha ila watu wanazibeza

Kukuta hela uliyoisahau kwenye suruali ukiwa uko majalala siku hiyo
Aisee mwaka flan nilipigwa hela ndefu tuu (story ndefu), nikawa majalala ile mbaya, nikakopa kias flan nikaingiza kwenye biashara kiuoga kinyama. Baada ya wiki sita nikiwa juu ya mawe nikakuta 50K kwenye kitabu cha TB Joshua. Nikakumbuka niliwekaga kitambo hela humo nikawa natoa kidogo kidogo, nilipopigwa nikadhani nilizimaliza zote.

Juzi nimetumia hela yakula kulipia mchango wa dharula ofisini, nikawa nawaza pasi ndefu mpaka nirudi home, mara paap... msimbazi upo katikati ya notebook.
 
Sikiliza kaka, huna mamlaka ya kupanga ipi ni starehe kwa mtu na ipi sio. Kama wewe unaona ngono ndio kitu bora kwako fresh, endelea kungonoka waache wenzio wafanye mambo mengine
 
Utapenda mavi yanavyotoka utakuja penda pipe inavyozama
 
Ile feeling demu mwiba kweli kweli halafu una crush nae kitambo sana, then siku1 unajitoa akili mara paap mtoto ana respond positively kwamba yeye pia alikuwa anakuzimia sana ila basi tu...Ile feeling bro asikwambie mtu.
 
Hahaaaa raha yake utadhani hiyo hela umepewa. Wakati ni yakwako
 
Kupiga chabo.. Aisee.. tena ukibahatisha Video kabisa wakiwa hawajafunika pazia vizuri, ila kama wamefunika unakula hata audio tuu.. sio poaa!!
Aisee hii kitu raha sana yaani unaweza jikuta na wee mwenyewe huku unabaishia baishia ukuta
 
Usilinganishe pombe na mambo ya ajabu aisee
 

Kweli kabisa mkuu yaani nashindwa elewa eti mtu anapenda kulewa anaacha papuchi.

Rah ya dunia hii bwana kugegeda. Umepatia kabisa kusema kuwa unachapa papuchi usiku na mchana....itabidi mzeya tuweke bonge moja la sexipati full warembo tujigegedee.
 
Huu uzi umekaa ki namna gani lakini una uhalisia asilimia zote kubali ukatae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…