Kuna siku MOJA nikimtokea MTOTO FULANI mkali sana maeneo FULANI,,, nakumbuka siku hyo kulikuwa na mvua kubwa sn tu,,, alipita DEMU MMOJA mkali sana,, uzalendo UKANISSHINDA ikabidi nimtokee,,, mtoto alinielewa vzr sana na ikafikia hatua ya KUTOA NAMBA ZA SIMU,,, SABABU mvua Ilikuwa inanyesha? Ikabidi tukajibanze SEHEMU ktk duka LA MANGI ili ikikata waendelee na hamsini ZAKE,, basi pale tulikuwa na watu wengi kiasi tusisubiri mvua na huku KIDUME NIKITEMA MADINI,, na maneno matamu ya kumtoa ANACONDA pangoni,,, baada ya mvua kukata basi yule mrembo alinipa namba zake na kuahidi kukutana maeneo FULANI ksho YAKE,,,, nikiwa katika PILIKAPILIKA ZILE ZA kuagana,,, mara NASIKIA SAUTI ikinisalimia nyuma tu Kati ya watu wasiojuwa wamesimama pale pembeni wakisubiri mvua,,, kugeuka kumbe BABA NA MAMA MKWE nao walikuwa PALE,,, na wamesikia MADINI yote niliyokuwa nakoroma,,,, aisee,,, nilitamani niyeyuke pale pale,,, kama zile picha Za akina SHIVOO, nilihisi JOTO LA AJABU SANA,,,, ni MIEZI sasa imepita ila sina Hakika kwamba hawa wakwe zng watanichukuliaje?au watapotezea.... Bado kumbukumbu haijatoka kichwani....