Weka hapa tukio ambalo hutokuja kulisahau

Kitendo cha Kunyimwa mkopo wa elimu ya juu huku nina vigezo na kupoteza ndoto ya kusoma nikiamini ingenisaidia kunijengea uwezo na misingi mizuri ya kujitegemea na kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayo izunguka jamii kwa uelewa mkubwa na ...japo maisha yanaendelea lkn naichukia bodi ya mikopo elimu ya juu
 
Moyo wangu ulipomzimikia pole pole sema ndoa kikwazo still sijamwambia namtafutia nafasi
Yes!yes! Hizi ni zama za ukweli na uwazi,toa ya moyoni Mapema.

Uvumilivu umenishinda baby love u/
Sogea Karibu yangu nipe raha/
Uvumilivu umenishinda baby love u/

By mwanadada Keisha.
 
Nilipofiwa na Kaka yangu mikononi mwangu nikiwa namuwahisha hospital baada ya kupata ajali usiku wa saa Saba.
Wakati huo nina umri wa miaka 16. Na wazazi wote wapo nje ya nchi, ikanibidi nivae viatu vya kuwa Baba.

Kitendo cha kumuingiza mochwari kwa mikono yangu nikisaidiwa na mlinzi wa zamu na kumuweka kwenye Jokofu nikarudi na nguo pekee nyumbani, hakika kuna Machungu duniani

RIP Bro[emoji22][emoji293][emoji622]
 
Siku niliposhinda(1994) bahati nasibu ya pepsi kwa kizibo namba 767 na baada ya kugundua kwamba kuna washindi zaidi ya 20 wakabadili kibao na kusema kwamba namba ya ushindi ni 676.tunashukuru cku hizi kuna bodi ya michezo ya kubahatisha
 
Yes!yes! Hizi ni zama za ukweli na uwazi,toa ya moyoni Mapema.

Uvumilivu umenishinda baby love u/
Sogea Karibu yangu nipe raha/
Uvumilivu umenishinda baby love u/

By mwanadada Keisha.
Hahaha kwan pole pole naye nitapaswa kumwita "baby" ?????
 
Siku niliposhinda(1994) bahati nasibu ya pepsi kwa kizibo namba 767 na baada ya kugundua kwamba kuna washindi zaidi ya 20 wakabadili kibao na kusema kwamba namba ya ushindi ni 676.tunashukuru cku hizi kuna bodi ya michezo ya kubahatisha
Unabet mkuu?
 
Kuna siku MOJA nikimtokea MTOTO FULANI mkali sana maeneo FULANI,,, nakumbuka siku hyo kulikuwa na mvua kubwa sn tu,,, alipita DEMU MMOJA mkali sana,, uzalendo UKANISSHINDA ikabidi nimtokee,,, mtoto alinielewa vzr sana na ikafikia hatua ya KUTOA NAMBA ZA SIMU,,, SABABU mvua Ilikuwa inanyesha? Ikabidi tukajibanze SEHEMU ktk duka LA MANGI ili ikikata waendelee na hamsini ZAKE,, basi pale tulikuwa na watu wengi kiasi tusisubiri mvua na huku KIDUME NIKITEMA MADINI,, na maneno matamu ya kumtoa ANACONDA pangoni,,, baada ya mvua kukata basi yule mrembo alinipa namba zake na kuahidi kukutana maeneo FULANI ksho YAKE,,,, nikiwa katika PILIKAPILIKA ZILE ZA kuagana,,, mara NASIKIA SAUTI ikinisalimia nyuma tu Kati ya watu wasiojuwa wamesimama pale pembeni wakisubiri mvua,,, kugeuka kumbe BABA NA MAMA MKWE nao walikuwa PALE,,, na wamesikia MADINI yote niliyokuwa nakoroma,,,, aisee,,, nilitamani niyeyuke pale pale,,, kama zile picha Za akina SHIVOO, nilihisi JOTO LA AJABU SANA,,,, ni MIEZI sasa imepita ila sina Hakika kwamba hawa wakwe zng watanichukuliaje?au watapotezea.... Bado kumbukumbu haijatoka kichwani....
 
Kwa upande wangu mimi sitokuja kusahau siku nilitembea na mke wa mtu baada ya kufika nyumbani nashika nyeti zangu nakuta hamna kitu, kusema kweli nilipagawa ila nashukuru zilirejea baada ya siku mbili wala sikumwambia mtu nilivumilia kiume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aiseee Pole sana mkuu
 
Kwa upande wangu mimi sitokuja kusahau siku nilitembea na mke wa mtu baada ya kufika nyumbani nashika nyeti zangu nakuta hamna kitu, kusema kweli nilipagawa ila nashukuru zilirejea baada ya siku mbili wala sikumwambia mtu nilivumilia kiume.
ulikuwa unakojoaje sasa hizo siku mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…