Weka hapa tukio ambalo hutokuja kulisahau

Weka hapa tukio ambalo hutokuja kulisahau

Siku nliposikia demu flani nilikua nasoma nae chuo na kukaa nae hostel moja kanitangazia kwa watu eti mimi bwana angu alikua ananila 071 kisa tu mabwana zetu walikua kundi moja..[emoji23][emoji23] kumbe yeye ndio analiwa 071 bwana...[emoji23][emoji23] ila namtafuta siku ya kumpata nampasua maana alijua kuniharibia cv yangu kuku yule
Ukishampasua utakuwa umemsaidia au umemuharibu?
 
Kuna siku MOJA nikimtokea MTOTO FULANI mkali sana maeneo FULANI,,, nakumbuka siku hyo kulikuwa na mvua kubwa sn tu,,, alipita DEMU MMOJA mkali sana,, uzalendo UKANISSHINDA ikabidi nimtokee,,, mtoto alinielewa vzr sana na ikafikia hatua ya KUTOA NAMBA ZA SIMU,,, SABABU mvua Ilikuwa inanyesha? Ikabidi tukajibanze SEHEMU ktk duka LA MANGI ili ikikata waendelee na hamsini ZAKE,, basi pale tulikuwa na watu wengi kiasi tusisubiri mvua na huku KIDUME NIKITEMA MADINI,, na maneno matamu ya kumtoa ANACONDA pangoni,,, baada ya mvua kukata basi yule mrembo alinipa namba zake na kuahidi kukutana maeneo FULANI ksho YAKE,,,, nikiwa katika PILIKAPILIKA ZILE ZA kuagana,,, mara NASIKIA SAUTI ikinisalimia nyuma tu Kati ya watu wasiojuwa wamesimama pale pembeni wakisubiri mvua,,, kugeuka kumbe BABA NA MAMA MKWE nao walikuwa PALE,,, na wamesikia MADINI yote niliyokuwa nakoroma,,,, aisee,,, nilitamani niyeyuke pale pale,,, kama zile picha Za akina SHIVOO, nilihisi JOTO LA AJABU SANA,,,, ni MIEZI sasa imepita ila sina Hakika kwamba hawa wakwe zng watanichukuliaje?au watapotezea.... Bado kumbukumbu haijatoka kichwani....
daaaaaaamn........mh...noma.
 
Huu uzi aaargh...
Kuna nini wiki hii, deo kisandu kwancha karudi, saiv nyuzi za macho tangu jana aisee..
 
Mkuu bora kuyachota yote mara moja. Ulifanyiwa ukatili mkubwa mnooo
Yaani pale tulikuwa wazalendo wengi kama 90 hivi na tena ilikuwa unasachiwa kama umechota mengi kichapo maana lengo lao lilikuwa uchote kidogo ili kila mmoja ayashike[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom