Mchezaji bora mwaka huu ni Mzamiru wa Simba.Mimi utabiri wangu upo hivi[emoji116][emoji116]
Kipa bora -Diarra (sababu ana cleansheet nyingi kuliko makipa wote)
Kiungo bora -Chama ( sababu ana assist nyingi kuliko wote)
Mfungaji bora -Mayele (sababu amescore magoli mengi zaidi kuliko wote)
Mchezaji bora -Ntibanzonkiza(sababu amechangia katika upatikanaji wa magoli mengi kuliko mchezaji yeyote)
Beki bora -Inonga (ameunda ngome iliyoruhusu magoli machache kuliko timu zote)
Kocha bora -Nabi( mkali wa mbinu,na amewezesha timu kubeba ubingwa wa ligi kupitia mbinu zake)
Weka utabiri wako na wewe [emoji12]
Mzamiru, anazidiwa mbali na , Akaminko, Aucho, Salum Abubakar, Mudathiri n.k Mzamiru Yuko level 1 na Bajana, Kagoma n.kMchezaji bora mwaka huu ni Mzamiru wa Simba.
Mimi ni Yanga.
Huo ni mtazamo.Mzamiru, anazidiwa mbali na , Akaminko, Aucho, Salum Abubakar, Mudathiri n.k Mzamiru Yuko level 1 na Bajana, Kagoma n.k
Ni tabia za kipuuzi za Tff zinazo leta picha mbaya kwenye soka la Tanzania.
Uwongo huo....Mzamiru, anazidiwa mbali na , Akaminko, Aucho, Salum Abubakar, Mudathiri n.k Mzamiru Yuko level 1 na Bajana, Kagoma n.k
Ni tabia za kipuuzi za Tff zinazo leta picha mbaya kwenye soka la Tanzania.