Weka In Case Of Emergency (ICE) kwenye simu yako ya mkononi endapo utapata tatizo wasamaria wema waweze kuwasiliana na watu wako wa karibu

Weka In Case Of Emergency (ICE) kwenye simu yako ya mkononi endapo utapata tatizo wasamaria wema waweze kuwasiliana na watu wako wa karibu

Ipo mkuu me natumia nokia android na ipo. Unajaza addres, blood group, address, etc.
Na sehemu ya kuweka contact.

Safi sana ngoja na mimi nichokonoe.

Tatizo ukipata tatizo mtu wa kwanza kukusaidia anawaza kukuibia simu
 
Yeah.. Lakini ikiibiwa pia inaweza kutumiwa na watu wabaya.. Muhimu ni vema ndugu jamaa naarafiki kutochukua maamuzi ya kukurupuka
Ohooo, watu wabaya hawachelewi kutuma sms za kuomba pesa duh, sawa imeeleweka mganga. Hivi hauna jinsi ya kuwaroga watu wabaya wasizione hizo namba muhimu kwenye ICE list[emoji3] [emoji3] fanya mpango Doctor.
 
Mpaka nipate credentials zao
Ohooo, watu wabaya hawachelewi kutuma sms za kuomba pesa duh, sawa imeeleweka mganga. Hivi hauna jinsi ya kuwaroga watu wabaya wasizione hizo namba muhimu kwenye ICE list[emoji3] [emoji3] fanya mpango Doctor.
 
Hii inaweza ika-back fire oale matapeli watakapoiokota na kuanza kuwapigia simu ndugu zako uliowaweka kama emergency contacts wakidai watumiwe pesa
 
Mungu akubariki kaka mkubwa naona unakidhi vigezo vya kuwa kaka mkubwa na mzaliwa wa kwanza .
 
Mshana Jr, Nimefanikiwa mkuu yaani weka namba yako ule mpesa fasta.
Nina miaka 10 natumia smartphone leo nimepata bonge la somo.
Elimu hii isambae.
 
Mh,, sasa mbona procedures ngumu,, halafu hata nikiweka hao watoa msaada wanavijua??
 
Back
Top Bottom