Weka In Case Of Emergency (ICE) kwenye simu yako ya mkononi endapo utapata tatizo wasamaria wema waweze kuwasiliana na watu wako wa karibu

fanya haya kuokoa maisha yako kwenye simu

Wengi wetu siku hizi tunaweka password / pattern katika simu zetu kwa ajli ya kuweka ulinzi katika simu, hali hii humpa mtu wakati mgumu wa kufungua simu yako [emoji4] bila ruhusa yako.

lakini umeshawahi kujiuliza vip siku umepata ajali , umepoteza simu , unaumwa mpaka ukisha simu umeshindwa au hata umekufa [emoji17] watu watatoaje taarifa zako.

siko hapa kusema/ kukuombea kufa lakini binadamu matatizo ndo maisha yetu hatuwezi kuyaepuka Ila ni vizuri kuweka vitu vyako ulinzi

lakini fikiria siku umetokewa na tatizo huko eneo la public uwezi kushika Wala kuongea kwenye simu yako watu wanataka kukupa msaada lakini hawawezi kutokana simu yako [emoji17] kuweka password / pattern.

Leo nimeamua kuwapa Elimu ambayo itasaidia kuokoa maisha yetu wakati unapopatwa na tatizo simu yako unaweza kukuokoa [emoji116] we fanya kusoma guy ujumbe

ikiwa simu yako huko kwenye locked [emoji359] kwa kawaida hukuambia weka password hili kuweza kuanza kutumia lakini [emoji116] chini yake Kuna neno EMERGENCY

nimeandika kwa herufi kubwa hili huweze kuliona vizuri [emoji851] sawa . sasa fanya hivi hili kuokoa maisha yako sawa [emoji417].

[emoji2389] kwenye emergency gusta ingia humo alafu utaona neno EMERGENCY information gusa mara mbili (2 times) utaona pencil [emoji3579] icon juu upande wa kulia ingia hapo

[emoji2390] Kisha bonyeza sehemu ya edit alafu baada ya hapo bonyeza sehemu ya contact ambayo unataka kusave namba muhimu ambazo uta save pale unapopatwa tatizo basi watu wataweza kuwapigia watu wako.

nakushauri hakikisha unaandika namba ambazo zikoo active mean zinapatikan mda wote na anapokea maana hitakusaidia kutoa taarifa haraka kwa ndugu zako au rafiki zako.
maana unaweza kusave namba nyingi sana wewe.

Kumbuka [emoji4]
kupiga namba kwenye emergency ni rahisi ikiwa kwenye lock simu yako gusa kwenye emergency alafu emergency information baada ya hapo utaona namba zote ulizo zi save hapo kwaiyo utapiga bila ku unlock simu ya muhusika.

roho ya mtu inaweza kusaidiwa kwa kufanya hivi

Free to share unaweza kuokoa maisha ya mtu [emoji2969]

kwa masuala mbalimbali kuhusu teknolojia kwa lugha ya kiswahili karibu katika page zetu ujifunze Bure.
 
unadhwni huyo atakayeshika simu anaweza kujua kama kuna namba ya emergency akishindwa kutoa laini na kuangalia namba za kupiga basi ujue hata huko kote hawezi kufika.
 
Tcra wamesema kuanzia tar 1 July line zote zitakazotolewa zitakuwa na password..means mtu akitoa line akaweka kwenye cm nyingine itamuhitaji kuweka password
 
Tayari halotel wanatoa line za aina hiyo, basicaly ni ile ile simpin ya tarakimu nne , ila hii ya sasa huwezi ku disable.
 
Wengi wetu siku hizi tunaweka password / pattern katika simu zetu kwa ajli ya kuweka ulinzi katika simu, hali hii humpa mtu wakati mgumu kufungua simu yako bila ruhusa yako.

lakini umeshawahi kujiuliza vip siku umepata ajali , umepoteza simu , unaumwa mpaka unashindwa kutumia simu au hata umekufa watu watatoaje taarifa zako?

siko hapa kusema/ kukuombea kufa lakini binadamu matatizo ndo maisha yetu hatuwezi kuyaepuka Ila ni vizuri kuwekea vitu vyako ulinzi .

lakini fikiria siku umetokewa na tatizo uko eneo la public uwezi kushika Wala kuongea kwenye simu yako watu wanataka kukupa msaada lakini hawawezi kutokana simu yako umeweka password / pattern.

Leo nimeamua kuwapa Elimu ambayo itasaidia kuokoa maisha yetu wakati unapopatwa na tatizo simu yako inaweza kukuokoa [emoji116]

ikiwa simu yako ipo kwenye locked [emoji359] kwa kawaida hukuambia weka password ili kuweza kuanza kutumia lakini [emoji116] chini yake Kuna neno EMERGENCY

nimeandika kwa herufi kubwa ili uweze kuliona vizuri [emoji851] sawa . sasa fanya hivi hili kuokoa maisha yako sawa

1.kwenye emergency gusa ingia humo alafu utaona neno EMERGENCY information gusa mara mbili (2 times) utaona pencil [emoji3579] icon juu upande wa kulia ingia hapo

2. Kisha bonyeza sehemu ya edit alafu baada ya hapo bonyeza sehemu ya contact ambayo unataka kusave namba muhimu ambazo uta save pale unapopatwa tatizo basi watu wataweza kuwapigia watu wako.

nakushauri hakikisha unaandika namba ambazo ziko active mean zinapatikan muda wote na zinapokelewa maana itakusaidia kutoa taarifa haraka kwa ndugu zako au rafiki zako.
maana unaweza kusave namba nyingi sana .

Kumbuka [emoji4]
kupiga namba kwenye emergency ni rahisi simu ikiwa kwenye lock gusa kwenye emergency alafu emergency information baada ya hapo utaona namba zote ulizo zi save hapo kwaiyo utapiga bila ku unlock simu ya muhusika.

roho ya mtu inaweza kusaidiwa kwa kufanya hivi .
 
Nilikua sijui sasa nimejua asante kwa ku share
fanya haya kuokoa maisha yako kwenye simu

Wengi wetu siku hizi tunaweka password / pattern katika simu zetu kwa ajli ya kuweka ulinzi katika simu, hali hii humpa mtu wakati mgumu wa kufungua simu yako [emoji4] bila ruhusa yako.

lakini umeshawahi kujiuliza vip siku umepata ajali , umepoteza simu , unaumwa mpaka ukisha simu umeshindwa au hata umekufa [emoji17] watu watatoaje taarifa zako.

siko hapa kusema/ kukuombea kufa lakini binadamu matatizo ndo maisha yetu hatuwezi kuyaepuka Ila ni vizuri kuweka vitu vyako ulinzi

lakini fikiria siku umetokewa na tatizo huko eneo la public uwezi kushika Wala kuongea kwenye simu yako watu wanataka kukupa msaada lakini hawawezi kutokana simu yako [emoji17] kuweka password / pattern.

Leo nimeamua kuwapa Elimu ambayo itasaidia kuokoa maisha yetu wakati unapopatwa na tatizo simu yako unaweza kukuokoa [emoji116] we fanya kusoma guy ujumbe

ikiwa simu yako huko kwenye locked [emoji359] kwa kawaida hukuambia weka password hili kuweza kuanza kutumia lakini [emoji116] chini yake Kuna neno EMERGENCY

nimeandika kwa herufi kubwa hili huweze kuliona vizuri [emoji851] sawa . sasa fanya hivi hili kuokoa maisha yako sawa [emoji417].

[emoji2389] kwenye emergency gusta ingia humo alafu utaona neno EMERGENCY information gusa mara mbili (2 times) utaona pencil [emoji3579] icon juu upande wa kulia ingia hapo

[emoji2390] Kisha bonyeza sehemu ya edit alafu baada ya hapo bonyeza sehemu ya contact ambayo unataka kusave namba muhimu ambazo uta save pale unapopatwa tatizo basi watu wataweza kuwapigia watu wako.

nakushauri hakikisha unaandika namba ambazo zikoo active mean zinapatikan mda wote na anapokea maana hitakusaidia kutoa taarifa haraka kwa ndugu zako au rafiki zako.
maana unaweza kusave namba nyingi sana wewe.

Kumbuka [emoji4]
kupiga namba kwenye emergency ni rahisi ikiwa kwenye lock simu yako gusa kwenye emergency alafu emergency information baada ya hapo utaona namba zote ulizo zi save hapo kwaiyo utapiga bila ku unlock simu ya muhusika.

roho ya mtu inaweza kusaidiwa kwa kufanya hivi

Free to share unaweza kuokoa maisha ya mtu [emoji2969]

kwa masuala mbalimbali kuhusu teknolojia kwa lugha ya kiswahili karibu katika page zetu ujifunze Bure

Instagram

YouTube [emoji417][emoji736]

Facebook [emoji3514][emoji3514]

Twitter [emoji18][emoji3514][emoji3514]
View attachment 1793343
 
fanya haya kuokoa maisha yako kwenye simu

Wengi wetu siku hizi tunaweka password / pattern katika simu zetu kwa ajli ya kuweka ulinzi katika simu, hali hii humpa mtu wakati mgumu wa kufungua simu yako [emoji4] bila ruhusa yako.

lakini umeshawahi kujiuliza vip siku umepata ajali , umepoteza simu , unaumwa mpaka ukisha simu umeshindwa au hata umekufa [emoji17] watu watatoaje taarifa zako.

siko hapa kusema/ kukuombea kufa lakini binadamu matatizo ndo maisha yetu hatuwezi kuyaepuka Ila ni vizuri kuweka vitu vyako ulinzi

lakini fikiria siku umetokewa na tatizo huko eneo la public uwezi kushika Wala kuongea kwenye simu yako watu wanataka kukupa msaada lakini hawawezi kutokana simu yako [emoji17] kuweka password / pattern.

Leo nimeamua kuwapa Elimu ambayo itasaidia kuokoa maisha yetu wakati unapopatwa na tatizo simu yako unaweza kukuokoa [emoji116] we fanya kusoma guy ujumbe

ikiwa simu yako huko kwenye locked [emoji359] kwa kawaida hukuambia weka password hili kuweza kuanza kutumia lakini [emoji116] chini yake Kuna neno EMERGENCY

nimeandika kwa herufi kubwa hili huweze kuliona vizuri [emoji851] sawa . sasa fanya hivi hili kuokoa maisha yako sawa [emoji417].

[emoji2389] kwenye emergency gusta ingia humo alafu utaona neno EMERGENCY information gusa mara mbili (2 times) utaona pencil [emoji3579] icon juu upande wa kulia ingia hapo

[emoji2390] Kisha bonyeza sehemu ya edit alafu baada ya hapo bonyeza sehemu ya contact ambayo unataka kusave namba muhimu ambazo uta save pale unapopatwa tatizo basi watu wataweza kuwapigia watu wako.

nakushauri hakikisha unaandika namba ambazo zikoo active mean zinapatikan mda wote na anapokea maana hitakusaidia kutoa taarifa haraka kwa ndugu zako au rafiki zako.
maana unaweza kusave namba nyingi sana wewe.

Kumbuka [emoji4]
kupiga namba kwenye emergency ni rahisi ikiwa kwenye lock simu yako gusa kwenye emergency alafu emergency information baada ya hapo utaona namba zote ulizo zi save hapo kwaiyo utapiga bila ku unlock simu ya muhusika.

roho ya mtu inaweza kusaidiwa kwa kufanya hivi

Free to share unaweza kuokoa maisha ya mtu [emoji2969]

kwa masuala mbalimbali kuhusu teknolojia kwa lugha ya kiswahili karibu katika page zetu ujifunze Bure.
Shukrani kwa kutukumbusha.
 
Back
Top Bottom