Weka jina la mchezaji aliewahi/anapewa sifa asizostahili ktk nafasi yake

severinembena

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Posts
2,435
Reaction score
2,402
Salamu ndugu,
Wadau kwenye mpira Wa miguu wakati mwingine nimeona kuna baadhi ya wachezaji wakisifiwa sana kinyume na uwezo wao halisi katika utimizaji majukumu uwanjani kwenye nafasi zao. Nadhani hili hata nyie wenzangu mmeshakutana nalo sana ktk maono yenu. Hebu Leo tuwabaini wachezaji hao ambao wamewahi kupata/ wanapata sifa zisizoendana na uwezo halisi Wa mchezaji husika. Mimi naanza na Gonzalo Higuain, Mario Baloteli, Aishi Manula, Joseph Kaniki, Andrew Vicent 'Dante' na Dante Bonfim Costa Santos Mwenyewe.
 
Ndugu unamaanisha hao walikuwa wanapewa sifa tu ambazo hawakustahili kuzipata au!? Fikiri Mara mbili asee
 
Ndugu unamaanisha hao walikuwa wanapewa sifa tu ambazo hawakustahili kuzipata au!? Fikiri Mara mbili asee
Hapana...hao ni vifaa hasa. Niluchokifanya ni kuita wakingwe wenzangu kama wamo kwenye huu uzi. I hope wewe ni mkongwe mwenzangu pia.
 
Mkuu inaonekana hujui soka wew na hufuatilii soka kisawasawa.....kwanza kwa kwanza huyo Aishi manula unamchukulia poa eeee...jmaa anauwezo kuliko golikioa wote hapa Tz ndo maana anadaka stars.....pia hujamshuhudia Gonzalo Higuain wewe unasoma magazeti tu huyu jamaa msimu mmoja kabla ya kuamia juve alifunga 30+ goals akiwa pemben ya messi na ronaldo.....

alaf huyo balloteli nae nadhan humjui coz ndo msaada wa Nice now na jamaa ni so talented licha ya vurugu zake...baada ya kutoka liver msimu uliofuata alifunga 20+ akiwa Nice....

Mtoa Uzi acha chuki binafsi mm sio mkia ila huyo Manula anajituma sana jifunze kuheshimu vipaji vya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…