Weka jina la mchezaji aliewahi/anapewa sifa asizostahili ktk nafasi yake

Niwe muwazi Thomas ulimwengu Himid Mao Vincent Andrew Makambo Adam Salamba James kotei Abdala shaibu Ibrahim migomba nk
 
Salamu ndugu,
Wadau kwenye mpira Wa miguu wakati mwingine nimeona kuna baadhi ya wachezaji wakisifiwa sana kinyume na uwezo wao halisi katika utimizaji majukumu uwanjani kwenye nafasi zao. Nadhani hili hata nyie wenzangu mmeshakutana nalo sana ktk maono yenu. Hebu Leo tuwabaini wachezaji hao ambao wamewahi kupata/ wanapata sifa zisizoendana na uwezo halisi Wa mchezaji husika. Mimi naanza na Gonzalo Higuain, Mario Baloteli, Aishi Manula, Joseph Kaniki, Andrew Vicent 'Dante' na Dante Bonfim Costa Santos Mwenyewe.
Gonzalo Higuain huyu ndo kabisaaa wa ovyoo, wengine mbona awako vizuri tu
 
1. Kindoki
2. Alikiba
3. Pogba
4. Nimemsahau jina
 
Salamu ndugu,
Wadau kwenye mpira Wa miguu wakati mwingine nimeona kuna baadhi ya wachezaji wakisifiwa sana kinyume na uwezo wao halisi katika utimizaji majukumu uwanjani kwenye nafasi zao. Nadhani hili hata nyie wenzangu mmeshakutana nalo sana ktk maono yenu. Hebu Leo tuwabaini wachezaji hao ambao wamewahi kupata/ wanapata sifa zisizoendana na uwezo halisi Wa mchezaji husika. Mimi naanza na Gonzalo Higuain, Mario Baloteli, Aishi Manula, Joseph Kaniki, Andrew Vicent 'Dante' na Dante Bonfim Costa Santos Mwenyewe.
maestro Andre pirlo
 
Wawa, Pogba, Giroud, Neymar, Thomas Ulimwengu, Kichuya.
 
Back
Top Bottom