Weka jina la mchezaji aliewahi/anapewa sifa asizostahili ktk nafasi yake

Duh hadi Joseph Kaniki ? Mimi ni Yanga lakini kwa Kaniki nasema No.He was a gud player
 
Wachezaji wengi wa England wanakuwa so overrated; Rooney (waliwahi kusema he is the best player in the world), Andy Carol mpaka akanunuliwa na Liverpool kwa 35 mil pounds huku Machine kama Suarez bei 22 mil pounds, Henderson, Rushford, etc

Juzi kombe la Dunia eti wanasema ile ni All Time Best.
 
Ha ha ha
 
Ila Rooney alikuwa mpambanaji asee
 
Duh hadi Joseph Kaniki ? Mimi ni Yanga lakini kwa Kaniki nasema No.He was a gud player
Huyo jamaa alikuwaga na asili ya uzito hivi kwenye maamuzi kama Lukaku flani. Ni staili za kina mwaikimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…