Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Sasa sindio maana nasema ninacho tamani jmn[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoto za mchana hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa sindio maana nasema ninacho tamani jmn[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoto za mchana hizi
Utajiri wa kupindukia unaanzia pesa kiasi gani mkuu?Utajiri wa kupindukia lkn nisaidie wasiojiweza....na ntafanikisha hili
Kila LA heri Mrs JrUnanitamanisha kama niwapate kama hao alafu wawe wa Jr
Utasubili sana huku ukiona mvi zinazidi tu kichwani na ngozi kubadilika kuwa ya kizee jiandae ndgForever young itapendeza sana
Mi nataka nimpate Rich wa Kidia oneNiwe tajiri wa mali na roho
Thanx myAbsolutely wit.
Haaa haaa...utatimiza ndoto gani mkuuNatamani siku nimpate witnessj Nitakupa nmetimiza ndoto zangu
Kama ule wa mfalme wa BruneiUtajiri wa kupindukia unaanzia pesa kiasi gani mkuu?
Hahah aisee,sawa.Kama ule wa mfalme wa Brunei
Muone chibu dee.... Akupeleke ibadani.[emoji4]Utajiri wa kupindukia lkn nisaidie wasiojiweza....na ntafanikisha hili