Haaa haaa ....chibu huyu huyu wa tandale?Muone chibu dee.... Akupeleke ibadani.[emoji4]
Ndiyo sasa hivi tunamuita wa madalee... [emoji4]Haaa haaa ....chibu huyu huyu wa tandale?
Nijiandae na nini tena?Utasubili sana huku ukiona mvi zinazidi tu kichwani na ngozi kubadilika kuwa ya kizee jiandae ndg
Sina. Nimeridhika na hali yangu.Hapa sijaongelea afya njema, No .
kwangu mimi natamani MKE MWEMA.
Nijiandae na nini tena?Utasubili sana huku ukiona mvi zinazidi tu kichwani na ngozi kubadilika kuwa ya kizee jiandae ndg
Ujiandae na uzeeNijiandae na nini tena?
Kujua neno la Mungu na kulishika...Hapa sijaongelea afya njema, No .
kwangu mimi natamani MKE MWEMA.
Inshaalah! yote kheri mkuu mana sio kila mtu anafika huko uzeeniUjiandae na uzee
Ni Kweli! Mungu ndiye mpangaji wa yoteInshaalah! yote kheri mkuu mana sio kila mtu anafika huko uzeeni
That will never happen, life is full of problems my dear.Stable income, reliable friends and good health
Atanipeleka ibada ya wapi? Nigeria? Au pale posta opposite na Hyatt kwa nyuma?Ndiyo sasa hivi tunamuita wa madalee... [emoji4]
Senior Bachelor.....Kazi kwelikweliSina. Nimeridhika na hali yangu.
Huo mzigo hapo kwenye avatar unaweza kunibadili status haraka sana!Senior Bachelor.....Kazi kwelikweli