goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
Ni mkeo nn [emoji1] [emoji23] [emoji108]
Pale nyuma ya Hyatt regence kilimanjaro hotel, ni ibada nzuri wanafanya kila ukisali unatoka na kitita. [emoji1] [emoji23]Atanipeleka ibada ya wapi? Nigeria? Au pale posta opposite na Hyatt kwa nyuma?
😀😀😀Ni mkeo nn [emoji1] [emoji23] [emoji108]
Siyo kwa sura hiyo uliyonioneshea....
Kama mkeo niuzie kwa dola 700. [emoji4] [emoji385] [emoji383] [emoji383]
Haaaahaaaa.. Hamna kitu wewe unafata masharti ya mgangaHuo mzigo hapo kwenye avatar unaweza kunibadili status haraka sana!
Haaaahaaaa...ngoja nimsake chibuPale nyuma ya Hyatt regence kilimanjaro hotel, ni ibada nzuri wanafanya kila ukisali unatoka na kitita. [emoji1] [emoji23]
Ukifanikiwa usinisahau eeenhree.... [emoji4]Haaaahaaaa...ngoja nimsake chibu
Duh hii kaliHaaaahaaaa.. Hamna kitu wewe unafata masharti ya mganga
[emoji23] [emoji23]Duh hii kali
Aaah wewe tena...Ukifanikiwa usinisahau eeenhree.... [emoji4]
Just imagine ni mwaka 1960 halafu mtu anatengeneza dili la kupata cash kama hii! There's always a Price Tag, James Hardley Chase5 millions dollars