Weka mate niteleze, kama nyoka pangoni

Weka mate niteleze, kama nyoka pangoni

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
3,319
Reaction score
4,701
Wadau kichwa kinaniuma kwa kufikiria,
Hivi hako ka mstari kwenye heading kaka yetu Dayamond alikua anamaanisha nini?

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Aweke mate kwenye sakafu ateleze, kama vile nyoka anavyotembea/teleza kwenye pango lake
 
Kizazi kichafu na cha zinaa, kimejaa misemo michafu yenye kuashiria uzinzi na uasherati, watu waliojaa macho ya uzinzi na matamanio, jamii iliyopotoka na kuwa watumwa wa ngono!

Watu wa Sodoma na Gomora kama wangefufuliwa leo hii, hakika wangetuonea wivu kwa jinsi ya matendo yetu ya ngono yamewazidi wao.

MUNGU BABA utuhurumie na kutusamehe sisi tuliopotoka.
 
Kumbe ina maana ya uzinzi, so sad
 
Hiyo bana choo mbona sijawahi kuiskia?
 
Kumbe ina maana ya uzinzi, so sad
Inasikitisha sana tena sana, wewe fikiri kwa makini ni kitu gani kikipakwa mate kinateleza kama nyoka pangoni?..... Hii ndiyo aina ya misemo vijana wetu na watu wazima waliopotoka wanapenda kuisikia, wakisikia basi wanatabasamu, wanafurahi, wanacheka mioyo yao iliyojaa uzinzi inasuuzika, na kufarijika; na ndiyo maana wanamuziki wazinzi kama Diamond wanaitumia sana hii misemo kwenye nyimbo zao sababu wanajua ni nini hii jamii iliyopinda inataka.
 
Kizazi kichafu na cha zinaa, kimejaa misemo michafu yenye kuashiria uzinzi na uasherati, watu waliojaa macho ya uzinzi na matamanio, jamii iliyopotoka na kuwa watumwa wa ngono!

Watu wa Sodoma na Gomora kama wangefufuliwa leo hii, hakika wangetuonea wivu kwa jinsi ya matendo yetu ya ngono yamewazidi wao.

MUNGU BABA utuhurumie na kutusamehe sisi tuliopotoka.
Binafsi siwalaumu maana nyimbo kama hizi ndio zinapewa kipaumbele na serikali yetu ya Tanzania, Vinginevo unafungiwa.
 
Back
Top Bottom