Weka mate niteleze, kama nyoka pangoni

Weka mate niteleze, kama nyoka pangoni

Wadau kichwa kinaniuma kwa kufikiria,
Hivi hako ka mstari kwenye heading kaka yetu Dayamond alikua anamaanisha nini?

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Mkuu hiyo ndo cm yako.
 
Wadau kichwa kinaniuma kwa kufikiria,
Hivi hako ka mstari kwenye heading kaka yetu Dayamond alikua anamaanisha nini?

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Alimaanisha ile njia ingine kubwa mzigo unapotokea
 
Inasikitisha sana tena sana, wewe fikiri kwa makini ni kitu gani kikipakwa mate kinateleza kama nyoka pangoni?..... Hii ndiyo aina ya misemo vijana wetu na watu wazima waliopotoka wanapenda kuisikia, wakisikia basi wanatabasamu, wanafurahi, wanacheka mioyo yao iliyojaa uzinzi inasuuzika, na kufarijika; na ndiyo maana wanamuziki wazinzi kama Diamond wanaitumia sana hii misemo kwenye nyimbo zao sababu wanajua ni nini hii jamii iliyopinda inataka.
kwani wewe hujawai kupaka mate ili iteleze?? au huwa unapaka nini.....
 
kwani wewe hujawai kupaka mate ili iteleze?? au huwa unapaka nini.....
Swali gani hili la kitoto unauliza?..... Hivi hebu nikuulize; sisi binadamu tunakunya kila siku na kukojoa lakini mbona husikii watu wakiimba kwenye nyimbo zao kuwa wanakunya?.... Siyo kila kitu ni cha kuimba kwenye nyimbo. Hapo ndipo maadili yanapochukua nafasi yake.

Ni ujinga kuimba "weka mate niteleze" eti tu kwasababu ni kitendo kinachofanywa sana na watu. Jamii inatakiwa kuwa na ustaarabu na maadili. Vitu hivi vikikosekana katika jamii ni hatari kubwa sana. Tumeumbwa na akili, sisi siyo kama wanyama wasiokuwa na akili!
 
Kizazi kichafu na cha zinaa, kimejaa misemo michafu yenye kuashiria uzinzi na uasherati, watu waliojaa macho ya uzinzi na matamanio, jamii iliyopotoka na kuwa watumwa wa ngono!

Watu wa Sodoma na Gomora kama wangefufuliwa leo hii, hakika wangetuonea wivu kwa jinsi ya matendo yetu ya ngono yamewazidi wao.

MUNGU BABA utuhurumie na kutusamehe sisi tuliopotoka.
Ndiyo maana nalia na aliyemuweka 20% matatizo. Kijana yule alikuwa na tenzi nzuri za kuasa vijana mfano tenzi hizi

 
Last edited:
Back
Top Bottom