Weka mate niteleze, kama nyoka pangoni

Wadau kichwa kinaniuma kwa kufikiria,
Hivi hako ka mstari kwenye heading kaka yetu Dayamond alikua anamaanisha nini?

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Mkuu hiyo ndo cm yako.
 
Wadau kichwa kinaniuma kwa kufikiria,
Hivi hako ka mstari kwenye heading kaka yetu Dayamond alikua anamaanisha nini?

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Alimaanisha ile njia ingine kubwa mzigo unapotokea
 
kwani wewe hujawai kupaka mate ili iteleze?? au huwa unapaka nini.....
 
kwani wewe hujawai kupaka mate ili iteleze?? au huwa unapaka nini.....
Swali gani hili la kitoto unauliza?..... Hivi hebu nikuulize; sisi binadamu tunakunya kila siku na kukojoa lakini mbona husikii watu wakiimba kwenye nyimbo zao kuwa wanakunya?.... Siyo kila kitu ni cha kuimba kwenye nyimbo. Hapo ndipo maadili yanapochukua nafasi yake.

Ni ujinga kuimba "weka mate niteleze" eti tu kwasababu ni kitendo kinachofanywa sana na watu. Jamii inatakiwa kuwa na ustaarabu na maadili. Vitu hivi vikikosekana katika jamii ni hatari kubwa sana. Tumeumbwa na akili, sisi siyo kama wanyama wasiokuwa na akili!
 
Ndiyo maana nalia na aliyemuweka 20% matatizo. Kijana yule alikuwa na tenzi nzuri za kuasa vijana mfano tenzi hizi
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…