Weka mbali na wanawake. Ni mfano tu

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Kwa mfano mkeo anaumwa na amefanyiwa operesheni, na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka.

Je, inawezekana kuvumilia?

Swali hili ni maalum kwa wanaume tu
 
ndio inawezekana japo kuna vihuduma vidogo vidogo itabidi upate kukupunguzia .lakin hivi ni oparereshen gan mwaka mzima bana
 
Ndio unaweza kuvumilia, je Kwa mfano tu Ni operation au ugonjwa gani huo??
 
hata hand job au blow job atashindwa kunipa?
 
Duuuh...!!
kwa wengne wataweza lkn mimi he he he itabid ka utaratibu ka next position kausike.
 
Kuvumilia mume itakua ngumu,tuseme ukweli tuu.Labda na wewe uwe mgonjwa
 
Hakuna mfano wa hivyo labda kama ni oparesheni tokomeza au tezi jike.
 
kwa mfano mkeo anumwa na amefanyiwa operesheni,na hatakiwi kuguswa kwa zaidi ya mwaka,je inawezekana kuvumilia?swali hili ni maalum kwa wanaume tu
Kuvumilia inawezekana mbona,nyakati hizo involve in alot of activities to make ur mind busy eg mazoezi,reading books nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…